Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Yaan tangu kuzaliwa kuishi kusoma na kutembea kwangu sijaona jambo lenye ufisho mbaya kama ubinafsi.

Na inawezekana kulikuwa na ubinafsi wa kupitiliza ndio mana yakatokea hayo. Katika mamvo M/Mungu hawezi kukaa kimya hata dakika moja ni ubinafsi. Atakufedhehesha hata ungekuwa Rais wa nchi. Much less mwalimu.

Mimi ningekuwa huyo mke ningeshirikiana na mwenzang kumpangishia huyo dada nyumba na kumuhudumia mpaka ajifungue na kisha mtt akishakua atukabidhi. Tuagane kwa Amani.

Wanawake angalieni mlipoanguka. Mkatubu. Kuna vingine siwez kuandika hapa ila no man anaweza kuchepuka hata ukimruhusu kama ww ni striker mzuri.
Laiti wanawake wote wangekuwa kama wewe!
 
Usilazimishe broo, kama huyo house girl umeridhika nae we oa mwache mkeo na watoto. Ukilazimisha kukaa na mkeo utakuwa mtumwa hadi uzeeni. Nyumba sio ishu, nna experience na hiyo hali mzee.
Kuna wanawake wana akili za kijanja janja. Usishangae ikawa ni mpango kazi maalum wa kuvunja ndoa na kauasisi mwanamke kwa maslahi anayojua yeye na jamaa likanasa mtegoni.
 
Yaan tangu kuzaliwa kuishi kusoma na kutembea kwangu sijaona jambo lenye ufisho mbaya kama ubinafsi.

Na inawezekana kulikuwa na ubinafsi wa kupitiliza ndio mana yakatokea hayo. Katika mamvo M/Mungu hawezi kukaa kimya hata dakika moja ni ubinafsi. Atakufedhehesha hata ungekuwa Rais wa nchi. Much less mwalimu.

Mimi ningekuwa huyo mke ningeshirikiana na mwenzang kumpangishia huyo dada nyumba na kumuhudumia mpaka ajifungue na kisha mtt akishakua atukabidhi. Tuagane kwa Amani.

Wanawake angalieni mlipoanguka. Mkatubu. Kuna vingine siwez kuandika hapa ila no man anaweza kuchepuka hata ukimruhusu kama ww ni striker mzuri.
Ndio nyie mnakuja kuwatesa watoto wa wanaume zenu kisa ubinafsi. Hata kumtenganisha mtoto ba mama yake ni sababu ya ubinafsi wako (wivu ili kupunguza mawasiliano kati ya mama na baba mtoto).
Juzi tu nimeleta uzi hapo kuhusu swala la wamama kuchuchua watoto wa michepuko
 
Wanaume bwana, unamla vipi msaidizi wa nyumbani kwako? That's absurd to say the least!
 
Una watoto watatu una mke mnasaidiana maisha halafu unafanya ujinga kama huu. Prof.Mkenda fuatilia huyu mwalimu muhamishe Kiluvya mpeleke mbali kbs. Hauna maadili na hauna heshima.
Halafu anatoroka muda wa vipindi kwenda kumega home
Kwanza ashatakiwe kwa kuwa mtoro kazini
 
Yaan tangu kuzaliwa kuishi kusoma na kutembea kwangu sijaona jambo lenye ufisho mbaya kama ubinafsi.

Na inawezekana kulikuwa na ubinafsi wa kupitiliza ndio mana yakatokea hayo. Katika mamvo M/Mungu hawezi kukaa kimya hata dakika moja ni ubinafsi. Atakufedhehesha hata ungekuwa Rais wa nchi. Much less mwalimu.

Mimi ningekuwa huyo mke ningeshirikiana na mwenzang kumpangishia huyo dada nyumba na kumuhudumia mpaka ajifungue na kisha mtt akishakua atukabidhi. Tuagane kwa Amani.

Wanawake angalieni mlipoanguka. Mkatubu. Kuna vingine siwez kuandika hapa ila no man anaweza kuchepuka hata ukimruhusu kama ww ni striker mzuri.
Sasa hapa ndio umeongea. Ebu wape elimu hao wanawake wasiojua kuwa wake ndani ya nyumba zao😍😍😍😍
 
Yaani pumbavu kabisa, sielewi mtu unamuachia mji wako toka asubuhi hadi jioni, unamuachia vitoto vyako avipikie, avilishe na kuvitunza the whole day huku wewe unatafuta pesa, then unaudited jioni unasimamisha kabisa na kumla mtoto wa watu.

Wanaume tuna madhaifu mengi sana asee!!
 
Aahh Sasa nisikilize Mimi, Mzoefu.

Kilichomuumiza Mkeo ni wewe kumla mtu anayemjua Tena mnaishi naye Ndani , hiii huwaumiza sana Wanawake .

Kosa lako lapili, umemdhalilisha Mkeo, anajihisi hafai ,Tena Kwa dada wa kazi, yaan chepuka ila usichepuke na mtu wa karibu sana namkeo ,,(rafiki, Ndugu, dada wa kazi)

Kosa lako la kwanza, Kama umekiri kweli mimba ni yako ....

( Ilipaswa ukatae katakata kua sio yako, anakusingizia tuuu, huwez mpa mimba mwanamke kama huyo ,hizo shahawa Bora upigie punyeto, yaan Mke wangu nakuhapia, nakama unabishaa, SUBIRI MTOTO AZALIWE TUKAPIME DNA, NASEMA SUBIRI MTOTO AZALIWE, TUKAPIME DNA,'UMACHOMEKEA UONGO---- UZURI DNA NI MILIONI MOJA KUPIMA, NASEMAJE NITAUZA HATA HII PIKIPIKI YETU YA USAFIRI MKE WANGU, TUPATE HELA, TUPIME DNA, ".. NA MAJIBU YAKITOKA MTOTO SIO WANGU, NAKUAMBIE HIVI HUYO HUYU BEKI TATU ATANIKOMA SANAASANAA, NAWEWE PIAAA NDIO UTAJUA CHA KUFANYA, NA SITOKUSAMEHEE KWA KITENDO CHAKO HIII ) SUBIRI TU DNA ITOKEE, SUBIRI TUUU , YAANI UNANIPELEKA MAHAKAMAN BILA UHAKIKA WA JAMBO, ET KISA MANENO YA MDADA WAKAZI?? MBONA ULIKUA NA AKILI SANA ,ZAMAN ULIKUA MPAKA UNACHUNGUZA, NA USHAHIDI JUU, HIVI HUYU MTOTO AMEKUFANYIA MADAWA?? MBONA SIKU HIZI UMEKUA WAKUKUBALI KILA KITU??? AMEKUFANYIA MADAWA HUYU SIO BUREE !!.

yaan katika kipindi hiki Cha yeye kua nahasira ulitakiwa umfanye aendeke kua na hasira LAKINI ASIWE NA UHAKIKA WA KUA MIMBA NI YAKOOO WEWE , HUKU UKIMLAIMU, UNAENDA MAHAKAMAN KUNIABISHA BILA USHAHIDI, ET KISA MANENO ?? UNGEKUA NA AKILI UNGESEMA ,MUME WANGU NGOJA TUSIBIRI DNA,, MAMBO YA AJABU SANA, USISHANGAE HATA UMESHANITANGAZA KWA NDUGU ZAKO WOTE, JE UKIJA THIBUTISHA KUA MTOTO SIO WANGU?? UTAWAPIGIA SIMU NDUGU ZAKO UWAAMBIE KUA ULINISINGIZIA?? SASA KWAKUA UMENDHALALISHA , MIMI SIWEZI KUKUACHA WEWE NA KUACHA WANANGU WAKATI NAKUPENDA , ILA MAJIBU YA DNA YAKITOKA, YAAAN MTOTO AKIWA SIO WANGU, NDIO SASA NITAAMUA KUKUACHIA MJI HUU NIENDE KUISHI NA HUYO MTOTO HATA KAMA MTOTO SIO WANGU, NITAFANYA IVO ILI KUKUPA FUNDISHO .

au unajifanya 👉 kama vipi wee ndio kapange, kama atazaa na DNA ikaonyesha sio wangu , ndio nitakuita urudi . ( EPUKA KUTUMIA MANENO LA HAYA "DNA IKIONYESHA MTOTO NI WANGU.........., BADALA YAKE SENTESI ZAKO ZIWE 'DNA IKIONYESHA MTOTO SIO WANGU..........)

👉Kila siku nawaambia, USITHUBUTU kukiri kosa la uchepukaji Kwa mwanamke .

👉👉👉SEMA HAMTANIELEWA HATA NIKIANDIKA SANA, IPO HIVI, MWANAMKE AKIWA KWENYE MAUMIVU NA HASIRA, HAKIKISHA ANAENDELEA KUUMIA ZAIDI NA HASIRA ZAKE ZIZIZDI ZAIDIII NA AKIJA RUDI KWENYE FURAHA, HAKIKISHA UNAMFURAHISHA ZAIDIIII ZAIDIIII.

sasa kitendo Cha kumuweka kwenye hali ya kutokua na uhakika, huku miezi ya kusubiri DNA ikisonga mbele, Hasira huanza kumuisha mdogomdogo, angejikuta anaanza kukuamin mdogomdogo, angejikuta anamfukuza mdada wa kazi.

wewe kisirisiri unaenda kumpangisha mdada WAKAZI au kama Kaenda kwao unaendelea kumtumia Pesa za matumizi , huku ukimpigia simu Kwa namba nyingine, ukimwambia tulia ,

baadae ungemtafutia Kamtaji ka biashara ili naye ajikwamue .

MWANAUME NAKINI HAACHI DAMU YAKE!!

NYINYI, SHETANI ALIMSHINDA MWANAMKE KWA SABABU YA UONGO, MWANAMKE HATOKAA AUSHINDE UONGO , SHETAN ALITUMIA MANENO YA UONGO NA SENTESI ZAKE ZILIKUA NI ZA KINYUME NYUME TOFAUTI NA MUNGU ALIVYOSEMA .

"ATIIII MMEAMBIWA MSILE MATUNDA YA MITI YOOOOOOTE YA BUSTANI???? ( HUU NI UONGO AMBAO SHETAN ALITUMIA, ILI KUMFANYA MWANAMKE AANZE KUA NA MASHAKA MASHAKA NA TAFAKAURI NYINGI KICHWAN AMBAZO ZILIISHIA KUMPA SHETAN NAFASI YA USHINDI).
 
Naona kosa lako wadau wanamchukulia Mwalimu Kama malaika ambaye hawezi kuchakata.
 
Ndio nyie mnakuja kuwatesa watoto wa wanaume zenu kisa ubinafsi. Hata kumtenganisha mtoto ba mama yake ni sababu ya ubinafsi wako (wivu ili kupunguza mawasiliano kati ya mama na baba mtoto).
Juzi tu nimeleta uzi hapo kuhusu swala la wamama kuchuchua watoto wa michepuko
Hapa sasa patamu....mada ndani ya mada...kimeumana🤣🤣🤣🤣🤣
 
kumamae unaoa mwalimu na wewe ni mwalimu una akili kweli ?! Yani hapo wewe na mkeo mko level sawa huwezi kua na sauti kwa mkeo kamwe kamwe. Kuoa mwanamke mwenye ajira ati mtasaidiana maisha ni ujinga tupu, ikitokea mmevurugana huwezi kumtulza anakuona kama mwenzake tu. Hapo lazima uchezee madawati ya jinsia wakuendeshe mpaka ukome.

Ungekua umeoa mke mama wa nyumbani hakika nakwambia asingethubutu kukupeleka mahakamani. Sasa kupenda kwako mteremko ati "kusaidiana maisha" qmamae unalo.

Na hao wanamake wenye viajira wana ngebe, ujuaji, viburi na jeuri si ajabu hata kisa cha wewe kumla house girl ni kiburi na jeuri ya mkeo "mwalimu mwenzako"
 
kumamae unaoa mwalimu na wewe ni mwalimu una akili kweli ?! Yani hapo wewe na mkeo mko level sawa huwezi kua na sauti kwa mkeo kamwe kamwe. Kuoa mwanamke mwenye ajira ati mtasaidiana maisha ni ujinga tupu, ikitokea mmevurugana huwezi kumtuliwoa anakuona kama mwenzake tu.

Ungekua umeoa mke mama wa nyumbani hakika nakwambia asingethubutu kukupeleka mahakamani.
Umemaliza mjadala. Unaoaje mwanamke alikuzidi au kulingana elimu na kipato? Unataka majanga tuu.
 
Back
Top Bottom