Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Maskini binti wa watu kashaharibu maisha. Afu hapo mtafukuza arudi kijijini kwao akalee mimba na wazazi wake.

Mwisho wa siku kuwa single mama, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Hspo huchomoki, we mpishe tu kapange chumba kimoja uanze maisha mapya na housegirl, huna adabu
 
Acha uongo wewe, sharia ya wapi hiyo
Wewe kaa ukijua hilo, ukioa na hasa mkiwa na watoto, nyumba ni ya mama.
Dunia hii humuondoi mwanamke ukae na watoto au humuondoi mwanamke na watoto ukae nyumbani peke yako.
Be a man and get the f#ck out of the house! Go build another house stop being a b!tch.
 
Mzee kumla imemkwaza sana ila shida keshapiga hesabu huo usajili mpya wa Nida ulio Tumboni kwa beki tatu huo ndio kichefuchefu na ushahidi ulimruka na kuona yy sio kitu... Hiyo kwao Huwa ni dharau isiyo sameheka.
 
Hamna kitu Kama hicho ,huyo mke hiyo nyumba kaijenga yeye peke
I repeat, be a man and get the hell out!!
Acheni kuwa na mawazo ya kijima na acheni ku-act kama vigoli.
Mwanaume halisi anaacha nyumba kwa watoto wake. Na atakuja dume mwingine humo kupumulia hicho kisogo.
Ndiyo ujue hilo.
 
Maskini binti wa watu kashaharibu maisha. Afu hapo mtafukuza arudi kijijini kwao akalee mimba na wazazi wake.

Mwisho wa siku kuwa single mama, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mfukuzaji wa kwanza atakuwa ni mke aka maza house. Ila lawama zitakwenda kwa faza hausi.
 
Kuna wanawake wana akili za kijanja janja. Usishangae ikawa ni mpango kazi maalum wa kuvunja ndoa na kauasisi mwanamke kwa maslahi anayojua yeye na jamaa likanasa mtegoni.
Aliyelala na dada wa kazi ameshavunja ndoa, ivunjwe mara ngapi? Binadamu mwenye akili timamu atawajibika kwa kosa alilofanya na si kuanza kusingizia wengine na kuplay victim.
 
Sasa si uondoke ukaanze maisha upya na beki tatu? Ndio ulichokuwa unakitafuta nenda kaanze maisha upya dada wa watu muache alee watoto, mkeo Tena katumia busara Sana ukiendelea kukaa hapo na mtu Ana hasira utakuja kujilaumu.
Tatzo ukute beki tatu mwenyew mbovu sana
 
Ndio nyie mnakuja kuwatesa watoto wa wanaume zenu kisa ubinafsi. Hata kumtenganisha mtoto ba mama yake ni sababu ya ubinafsi wako (wivu ili kupunguza mawasiliano kati ya mama na baba mtoto).
Juzi tu nimeleta uzi hapo kuhusu swala la wamama kuchuchua watoto wa michepuko
Yaani ye kaona ubinafsi wa upande mmoja hajaona ubinafsi wa wao kuja kumchukua mtoto wa mwanamke mwenzake, mwanamke gani atakubali atenganishwe na mwanae na akalelewe na mama wa kambo.

😅 kweli kosa vyote usikose akili!
 
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
Siku shauri Chochote zaidi ya uache pombe ndio chanzo
 
kiusalama inatakiwa iandikwe watoto!

Moyo ni kichaka!

Ikitokea mmoja katangulia Bas Watoto Ndio wenye mali!
Simple TU!!
Hii ni kabla ya mtifuano uliotokea, ingekuwa vyema kufanya hivyo. Sasa wapo mahakamani, mke anadai chake na mume anatetea chake, watoto ni suala la malezi tu sio umiliki wa nyumba.
 
#Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama#

Ulitushirikisha ulipokuwa ukipata uroda?

Malizana na Msala wako mwenyewe

Halafu huyu ni mwalimu ambae tunategemea awafunze watoto wetu

[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1487]
 
kwanza hongera sana...huo ndio uanaume sasa...
Pili, huyo mwanamke hafai, kwanini aende mahakamani? Uyo mchepuko mtafutie mahali akae uendelee kula raha,
mkeo anataka umuachie nyumba ili iweje? aolewe tena? mwambie yeye ndio ahame
 
Mimi binafsi mume wangu akizaa tu nje ndiyo mwisho wa ndoa.....huyo binti atazaa mtoto na sio nyoka mind you umejiingiza kwenye shimo
 
Back
Top Bottom