Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hspo huchomoki, we mpishe tu kapange chumba kimoja uanze maisha mapya na housegirl, huna adabuMimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.
Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.
Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.
Tuna miezi mitatu hataki nimguse.
Nitachomokaje?
🤣🤣Chomoka na house girl kwenye pikipiki...
Wewe kaa ukijua hilo, ukioa na hasa mkiwa na watoto, nyumba ni ya mama.Acha uongo wewe, sharia ya wapi hiyo
I repeat, be a man and get the hell out!!Hamna kitu Kama hicho ,huyo mke hiyo nyumba kaijenga yeye peke
Mfukuzaji wa kwanza atakuwa ni mke aka maza house. Ila lawama zitakwenda kwa faza hausi.Maskini binti wa watu kashaharibu maisha. Afu hapo mtafukuza arudi kijijini kwao akalee mimba na wazazi wake.
Mwisho wa siku kuwa single mama, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Asante kwa kunipa moyo.Kwenye kuvunja ndoa na kugawana Mali, hawaangalii kosa. Kama ndoa haikalabatiki mnagawana kuangalia michango yenu kwenye hiyo mali.
Na nyie ndio mnaondolewaga kwa sumu polepole..unakosea bado unaleta kiburi na ujuaji.Ninao ila mke wangu hawezi kuniambia niondoke kwenye nyumba yangu labda niamue mwenyewe.
Aliyelala na dada wa kazi ameshavunja ndoa, ivunjwe mara ngapi? Binadamu mwenye akili timamu atawajibika kwa kosa alilofanya na si kuanza kusingizia wengine na kuplay victim.Kuna wanawake wana akili za kijanja janja. Usishangae ikawa ni mpango kazi maalum wa kuvunja ndoa na kauasisi mwanamke kwa maslahi anayojua yeye na jamaa likanasa mtegoni.
Tatzo ukute beki tatu mwenyew mbovu sanaSasa si uondoke ukaanze maisha upya na beki tatu? Ndio ulichokuwa unakitafuta nenda kaanze maisha upya dada wa watu muache alee watoto, mkeo Tena katumia busara Sana ukiendelea kukaa hapo na mtu Ana hasira utakuja kujilaumu.
kiusalama inatakiwa iandikwe watoto!Nyumba mmejenga wanandoa halafu majina yaandikwe ya watoto? Mali si ya watoto ni ya wanandoa, watoto watatafuta za kwao pindi wakiwa wakubwa
Yaani ye kaona ubinafsi wa upande mmoja hajaona ubinafsi wa wao kuja kumchukua mtoto wa mwanamke mwenzake, mwanamke gani atakubali atenganishwe na mwanae na akalelewe na mama wa kambo.Ndio nyie mnakuja kuwatesa watoto wa wanaume zenu kisa ubinafsi. Hata kumtenganisha mtoto ba mama yake ni sababu ya ubinafsi wako (wivu ili kupunguza mawasiliano kati ya mama na baba mtoto).
Juzi tu nimeleta uzi hapo kuhusu swala la wamama kuchuchua watoto wa michepuko
Siku shauri Chochote zaidi ya uache pombe ndio chanzoMimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.
Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.
Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Tunakaa Kiluvya, Dar, Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.
Tuna miezi mitatu hataki nimguse.
Nitachomokaje?
Hii ni kabla ya mtifuano uliotokea, ingekuwa vyema kufanya hivyo. Sasa wapo mahakamani, mke anadai chake na mume anatetea chake, watoto ni suala la malezi tu sio umiliki wa nyumba.kiusalama inatakiwa iandikwe watoto!
Moyo ni kichaka!
Ikitokea mmoja katangulia Bas Watoto Ndio wenye mali!
Simple TU!!
Umelikoroga linywe
#Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama#
Ulitushirikisha ulipokuwa ukipata uroda?
Malizana na Msala wako mwenyewe
Halafu huyu ni mwalimu ambae tunategemea awafunze watoto wetu
Mimi binafsi mume wangu akizaa tu nje ndiyo mwisho wa ndoa.....huyo binti atazaa mtoto na sio nyoka mind you umejiingiza kwenye shimo