Nimempa ujauzito msichana nisiye na malengo naye

Nipe ushauri mdau
Daaa yaani mkuu labda plan zako zilikuwa kuja kuwa na mtt ukijipata lkn maishà ss yalivyo yakingese yamekupa mtt kabla hata ndoto haijatimia ,,shukuru Kwa yt km una uwakikaa n damu Yako angaliaa jinsi yakuipambania kuliko kuipotezaa ,mwanaume akimbii matatizoo Huwa tunakabiliana nayo mpk yatuuwee .
 
😂😂😂Ila wasichana Wana mbwinu za kigaratia haswaaa
 
Wewe una malengo na nani?
 

Kamaliza chuo mwaka Jana kasoma miaka 3, Mimi nasoma mi 4
 
Mkuu najua hamtaniamini hapa demu aliniekea mitego mingi ya kumdinya, Hadi ikawa ni mchezo, na anafaham kwamba nilikua simkubali.
Acha kutafuta visingizio dogo. Alikuwekea mitego kwani alikushikisha kwa nguvu na kujisokomeza nayo? Ulikuwa unategemea nini wakati unapiga mabao tena kavukavu?
 
Ole wako utelekeze mtoto! Taabu na Shida atakazopata zikuletee taabu na shida ko kote uendako! Iambatane na kutofanikiwa kwako kwa lo lote lile.
 
Shukrani Kwa ushauri wako, nasubiri kujihakikishia
 
Fanya vyote ila usikimbie mtoto
 
Ukiwa chuo kikuu wewe ni mtu mzima,

Unapopata taarifa kuwa mpenzi wako ni mjamzito jambo la kwanza unatakiwa kurelax kisha unamuita na kumpima huo ujauzito ili uhakikishe.

Baada ya hapo unaangalia kama hakuna viashiria vya yy kuwa na mahisiano ya pembeni

Kama hana unatakiwa kulea hiyo mimba kivyovyote vile maana unaweza jiona hunashida na mtoto baadae mambo yakaja kukuendea kombo hukobeleni wakati huo unapesa na kila kitu

Wewe lea mimba na hakikisja unamuweka karibu huyo binti maana kwa mwandiko wake ni mtu anayejitambua.

Ukiweza muoe. Nakuhakikishia utajifunza mengi na akili yako itakomaa.

Wanaume huwa hatukatai mimba mkuu wanaume kupambana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…