Nimempa ujauzito msichana nisiye na malengo naye

Shukrani sana
 
ndio umtunze sasa
 
Chukua vipimo kuakikisha kwanza kama kweli ana mimba kweli, labda anakujaribu tu response yako itakuaje siku akibeba mimba kweli. Kama ana mimba kweli beba majukumu maana ushakua mtu mzima tayari pia washirikishe wakubwa zako nyumbani. Mtoto akizaliwa kama haujafanana nae kabisa make sure unacheki vipimo vya DNA kwa siri, kumbuka DNA za bongo ni za mchongo jichange kachukue vipimo Nairobi gharama zake sio kubwa sana.
 
Halafu baada ya miaka 5 huyo dada baada ya kuchoshwa na frustration za usingle mother atakuja hapa love connect kutafuta mume ambaye ana kazi yake na ayaijielewa wakati uliyemzalisha ni kijana wa ovyo na jobless usiokuwa na mbele wala nyuma kama mche wa sabuni..
 
Mkuu acha roho mbaya yakukataa mimba hio itakutafuna milele hadi unaingia kaburini wakat unampelekea moto na kusikia raha hukujua kwamba kuna majukumu baada ya raha hizo
 
Mkuu acha roho mbaya yakukataa mimba hio itakutafuna milele hadi unaingia kaburini wakat unampelekea moto na kusikia raha hukujua kwamba kuna majukumu baada ya raha hizo
Mkuu tusimlaumu sana dogo saiv na mademu nao hawaaminiki ukute mimba sio ya dogo, demu kacheki wanaomkaza nani nice guy wa kumbakia mimba chaguo likamuangikia dogo.
 
Shukrani Kwa ushauri
 
Hongera yako mwenye mbele na nyuma
 
Piga kimya mkuu, usimjibu.

Message yake ni ya kutafuta huruma hiyo, hizo texts tushatumiwa sana yan. Ona Mushker sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…