MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Umenifanya nitembee nimetunisha tumikono hapa job maana ni Kama unataka kunirahisishia kazi ,ahsante mpenzi .Aaah kumbe ni mimi unanipenda?? Sa mbona hausemi hebu nimixx by yas nijiunge nkupigie
Akinikataa nakuja kwenu wasaga sumuMuache apigwe za uso
Wow! karibu kwenye ulimwengu wa kenzy, hapa vilivyo vigumu hulegea! vichachu huwa vitamu na huzuni huwa vicheko!.Aisee nimejikuta nampenda huyu member KENZY
Mfuatilieni .jamaa ana kitu apewe ulinzi
Mimi nimemjua Jana tu
Kama hajaoa naombeni mniweke pale ndugu zanguni.
Napenda kufurahi Mimi
Kenzy nitakucheki saa tano usiku pm
haha! mkuu punguza mbwembwe!Mara Pap, kumbe KENZY ni Lucas Mwashambwa, utaimbiwa nyimbo za CCM mpaka uchoke.
nawe taja funiko lako...🤣Kweli kila chupa ina mfuniko wake 😹
December namimi ni member..🤣Hivi huu ni mwezi wa ngapi vile?
Niite kwa adabu sasa huoni nimependwa ghafla..?😂
Hatuta mbemenda mimi ni mtu makini sana sinaga mbambamba!My dear huyo KENZY simfahamu
Angalia utambemenda mtoto
Kwa mwanaume, huu ni mwezi wa kukaa kimachale sana...
Nawaza nikugawe lkn nasita, endelea kutoa burudani mrembo🤣🤣🤣Anafaa na za ndani ndani nasikia anajua kushenyenta.......usitunyime ubuyu wanao 😹
Kila laheriHatuta mbemenda mimi ni mtu makini sana sinaga mbambamba!
Naona umechotwa umejaa haha.haha! mkuu maandishi tu nimepata baby siku nikiweka picha yangu humu warembo wote watajaa pm!..🤣
Mimi ndo ile sukari ya warembo unayosikia ikitamkwa nakuwashusha warembo udenda!
Wanatakiwa kupendwa na wenzao wafupi maana wote hasira zao zipo karibu🤣🤣🤣🤣😅hivi wenye hizo sifa hawastahili kupendwa
Wasifu wa mtoa mada unaujua huenda wanalingana vimoWanatakiwa kupendwa na wenzao wafupi maana wote hasira zao zipo karibu
Hebu tuambie wewe🤣🤣🤣🤣😅hivi wenye hizo sifa hawastahili kupendwa
Tunanyanyapaliwa sana dah🤣🤣🤣🤣😅hivi wenye hizo sifa hawastahili kupendwa