Nimempenda mtoto wa watu huku

Nimempenda mtoto wa watu huku

Aisee nimejikuta nampenda huyu member KENZY
Mfuatilieni .jamaa ana kitu apewe ulinzi
Mimi nimemjua Jana tu
Kama hajaoa naombeni mniweke pale ndugu zanguni.
Napenda kufurahi Mimi
Kenzy nitakucheki saa tano usiku pm
Kenzy kaa makin sana otherwise utapigwa dakka za jioniiiiiiiiiiiiii,, Christmas hii hapa ,,utajaza gari mafuta ya kwenda kaskazintena kwenda na kurud aisee!!!
 
Kenzy kaa makin sana otherwise utapigwa dakka za jioniiiiiiiiiiiiii,, Christmas hii hapa ,,utajaza gari mafuta ya kwenda kaskazintena kwenda na kurud aisee!!!
haha! kasema yeye ndo atakuwa mfadhiri na mzamini hivyo pochi yangu isitapetape...🤣
 
haha! mkuu maandishi tu nimepata baby siku nikiweka picha yangu humu warembo wote watajaa pm!..🤣
Mimi ndo ile sukari ya warembo unayosikia ikitamkwa nakuwashusha warembo udenda!
Watu wafupi mna mikwara sana
 
Back
Top Bottom