Nimempenda mtoto wa watu huku

Nimempenda mtoto wa watu huku

haha! mkuu maandishi tu nimepata baby siku nikiweka picha yangu humu warembo wote watajaa pm!..[emoji1787]
Mimi ndo ile sukari ya warembo unayosikia ikitamkwa nakuwashusha warembo udenda!
Nimecheka hadi basi, una nn lakini? Siku hizi umekuaje kwani?.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi ni kweli bahati haiji mara mbili?

Tatizo mwezi huu
 
Back
Top Bottom