Usiweke moyo wako ulivyo peupe ..shalom! To yeye
Noted nakupa DEGREE MOJA YA HESHIMAKwa mwanaume, huu ni mwezi wa kukaa kimachale sana...
π π mimi ni mtanzania mnyonge To yeye niko hapa kuwakumbusha upinzani zoezi la kuboresha daftari linazidi kuchanja mbuga wasilaze masikioUsiweke moyo wako ulivyo peupe ..
Wewe ni mtu mkubwa sana ujue.
Mi mzima mkuu
kwa hiyo ulikua unanizingua sio?wapi na lini..??
sikumbuki!kwa hiyo ulikua unanizingua sio?
sawasawasikumbuki!
Aisee nimejikuta nampenda huyu member KENZY
Mfuatilieni .jamaa ana kitu apewe ulinzi
Mimi nimemjua Jana tu
Kama hajaoa naombeni mniweke pale ndugu zanguni.
Napenda kufurahi Mimi
Kenzy nitakucheki saa tano usiku pm
Tatizo idNimeweka mazoea na yeye Ila sijaona akinizoea ,nimejaribu kupitia komenti na thread zake zote walau nikomenti kwa heshima na kumpa like Ila bado hajaelewa ,Sasa nasubiri siku nilewe niamke asubuhi na uzi wa kueleza yaliyomo kwenye kirindi Cha moyo wangu .
Ombi kwako naomba siku ukiona uzi huo ungana nami kumplease anikubali ,la sivyo mtanipoteza kwa aibu hapa jamvini
Sawa mkuu,Kila lenye kheriπ π mimi ni mtanzania mnyonge To yeye niko hapa kuwakumbusha upinzani zoezi la kuboresha daftari linazidi kuchanja mbuga wasilaze masikio
Id imefanyaje ndugu yanguTatizo id
Apo kwenye tango atashtuka.Sa mbona unatongoza kama enzi za wakoloni bro..... Si umpe za hivi tu ππ₯°β€οΈβπ₯π«¦ππ©ββ€οΈβπβπ©π
πKweli kila chupa ina mfuniko wake πΉ
ila watu ilimradi tu mmeharibu!Naskia ameoa hko mafinga na ana watoto wawili
ππwapambe nuxila watu ilimradi tu mmeharibu!
Nimelia sana.....Pweza beachunateseka ukiwa wapi..?