Nimempiga boadaboda mpaka nimemuonea huruma

Sawa mkuu itakuwa sijakutana nao,
 
Anzisha uzi wa mafundi pikipiki labda watakuja..

Kama bado una amini maisha yana madaraja huwezi kupinga uwepo wa watu wenye magari.
 
Kuwa na gari ni jambo la kawaida sana na wala halimaanishi utajiri...mbona kuna magari ya aina mbalimbali .

Nyingine ni gharama na nyingine hata kina sisi tunaweza kujichanga tukazimiliki..

Ni jambo la ajabu kushangaa uwepo wa watu wengi wenye magari humu,maana barabarani zimejaa hadi zinasababisha foleni..

#Fikra za kimasikini huleta umasikini.
 


We magari had 5m unapata..kwan shida nn sasa jaman...majumba hayo yoote tunYoyaona baadhi ya wamiliki wapo jf jaman..khaa
 
Umekuwa mkavu sana leo.
 
Umekuwa mkavu sana leo.


Alafu wala...ila haya maneno ya chuki chuki nayaona sana jf ..mara wasomi wapo humj..yes..kwan hizo degree za kitaani zilizokosa ajira ziko wap .si ziko kitaa na jf ndo kitaa chenyewe...!tuwe tu real jaman...!anayefake mwachen afake ukute ana nia yake..au anatafta fame jfπŸ˜…..maisha easy sana
 
Umeona chai? Mimi nimejiuliza eti dakika kumi mtu yupo chini, wakati huo ni nini kilikuwa kinaendelea?
Unajua kuja hapa jukwaani na kutaka umma ujue kuwa una pesa,gari nnyumba na mfadhili wa Bodaboda inataka moyo mshikaji kaamua atoe taarifa kwa mtindo huo!
 
Unguja kuna wale wanaojiita TA au Tako Moja, hawa jamaa ni shida kwa kweli, walishawahi nikwapulia side mirror halafu wakalala mbele,
 
Kuna watu wapumbavu sana,yaani ndio umesema nini hapa?
mwanzo mwisho pumba tupu,akili yako na maneno yako na vijana wavuta bangi hamna tofauti,hulaumiki ndio akili yako ilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…