imbegete
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,299
- 992
Mimi nimependa hiyo ya "watoto wa mbwa " [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwamba ulivaa kama zebedayo[emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba ulivaa kama zebedayo[emoji28][emoji28]
Sawa mkuu itakuwa sijakutana nao,Wewe tu na negativity zako. Katika uzi unaaongoza kuchangiwa humu wa nyumba za kupanga ni mmoja upo humu na members humu wanaelezea experience zao za kuishi nyumba za kupanga. Pia kuna uzi wa vituko vya daladala na unachangiwa sana na members humu wanaandika experience zao.
Hizo ngumi zenu za heavyweight mutakuja kuua vijana wa watu, mana kama nakuona ulivyomfyetua hiyo ngumi.Suti na mocasin
Ndio maana kuna vipimo kabla ya pambano kuanza, mleta mada hajazingatia, ashtakiwe[emoji16][emoji16]Hizo ngumi zenu za heavyweight mutakuja kuua vijana wa watu, mana kama nakuona ulivyomfyetua hiyo ngumi.
Anzisha uzi wa mafundi pikipiki labda watakuja..Mbona unapenda kuchukulia mambo serious sana ,ndo maana nikasema na mimi nitanunua ka gari all in all hakuna mtu anaye mchukia tajiri duniani hapa lazima maisha yawe na madaraja.....what i said ni kuwa humu ndani kumbe kila mtu ana gari sijawahi kuona comment au thread ya fundi pikipiki,sasa hapo kwani nimekata humu hamna matajiri?au umetafsiri vp mkuu?
Kuwa na gari ni jambo la kawaida sana na wala halimaanishi utajiri...mbona kuna magari ya aina mbalimbali .Hili suala kiubinafsi linanishangazaga sana hapa jf .hahaha yaan wat wanataka upretend umaskini..sijui wanataka uishi fake mradi wwnyew wafurah..mkuu hv hayo magari yoote unayoyaonaga barabaran ..huhis kuwa baadhi wamiliki watakua humu jaman..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...ila umaskini kwel sio mzuri..tuzidi kuuchukia..kuwa na gari sio deal bwana .
Kuwa na gari ni jambo la kawaida sana na wala halimaanishi utajiri...mbona kuna magari ya aina mbalimbali .
Nyingine ni gharama na nyingine hata kina sisi tunaweza kujichanga tukazimiliki..
Ni jambo la ajabu kushangaa uwepo wa watu wengi wenye magari humu,maana barabarani zimejaa hadi zinasababisha foleni..
#Fikra za kimasikini huleta umasikini.
Umekuwa mkavu sana leo.Ni ww tu na unavyofeel..haha hata km wanadanganya kwan ww unaugua...chill take easy..binafsi Jf nimekutana na matajiri mno mno...!ifike hatua tukubali tu na hali halisi..!nyie ndo wale unamuona jirani yako amekwama na gari anaslide tu mnafurahiiiii😅😅..moyo unakuwa una amanii...hv kwann wabongo tuko hvi?mnabaki chungulia madirishani mnajisema akome😏😏😊...huo ndo ukwel..huna gari fight upate..ila ukitaka kusikia kila mtu bodaboda utasubiri saaana!
Hata ww badilika!jali maisha yako😅
We magari had 5m unapata..kwan shida nn sasa jaman...majumba hayo yoote tunYoyaona baadhi ya wamiliki wapo jf jaman..khaa
Umekuwa mkavu sana leo.
Ngumi ya Wilder..Duh ngumi ya Likud, mpaka nimesisimka jomon.
Mie hata asili yangu hairuhusu kuwa mnyonge, tena kama mazingira na wakat unaruhusu nakutia hata risasi za miguuBasi endelea na kupiga..ila wanaume halisi hawPendi kupigana ... mwanaume anayependa kupiga mie namuona maskini fulan wa ubongo[emoji28][emoji40][emoji111]
Mie hata asili yangu hairuhusu kuwa mnyonge, tena kama mazingira na wakat unaruhusu nakutia hata risasi za miguu
Nmesimamia upande wa asili na sio upande wa dini mkuuAlafu mnadai dini yenu ni AMANI[emoji40]
Unajua kuja hapa jukwaani na kutaka umma ujue kuwa una pesa,gari nnyumba na mfadhili wa Bodaboda inataka moyo mshikaji kaamua atoe taarifa kwa mtindo huo!Umeona chai? Mimi nimejiuliza eti dakika kumi mtu yupo chini, wakati huo ni nini kilikuwa kinaendelea?
😂😂😂😂😂😂Kwamba ulivaa kama zebedayo[emoji28][emoji28]
Kuna watu wapumbavu sana,yaani ndio umesema nini hapa?Bodaboda wa hapa mjini wana mentality moja ya kijinga sana.! Wanapokuwa barabarani they always act in this kind of foolish attitude " Tupo wengi ukinizingua ntaenda kuwaita wenzangu tutakuzingua"
Leo wakati narudi home " barabara" ya vumbi nimekutana na bodaboda mmoja yupo overspeed. Nikammwepa akaenda kugonga ukuta. Natoka nje ya gari jamaa ananifuata na kuanza kunimind huku ananitukana matusi ya nguoni kwamba mimi ndio nimesababisha yeye apate ajali. Wakati yote hayo yanatokea tayari watu walikuwa wameshaanza kujaa na walimuona wakati anakimbiza pikipiki yake .
Nadhani jamaa alipata ujasiri wa kunitukana baada ya kuona mavazi niliyokuwa nimevaa " Nilikuwa nimevaa kikristu" jamaa akaona hawa ndio walewale wakina Mathayo.
Nilimpa mshindo ( ngumi) wa nguvu mtu bidu chali kisha akaanza kutikisa kichwa kama bata kapigwa na manati.
Niliogopa sana nilidhani nimeua. Jamaa akatulia chini for like 10 minutes then baada ya hapo akanyanyuka akakaa. Nikazuga kama nataka kuendelea kumpiga fasta akaanza kutoa wosia ( Kaka ugomvi sio mzuri kaka and blah blah )
Eneo la tukio sio mbali na kijiweni anako park huyo unlucky bodaboda. Muda si mrefu wakaja bodaboda kikundi wakiwa na mwenyekiti wao kujua what is going on.
Jamaa alipo waona wenzake akapata nguvu akasimama na kuanza kuongea huku akiwa analia kwamba eti nimemuonea .
Unbeknownst to him mimi ni mmoja kati ya wadhamini wakuu wa Bodaboda Fc wa mtaani kwetu na bodaboda wananifahamu na kuniheshimu kupita maelezo.
Jamaa ni mgeni ndio maana hakuweza kunifahamu am sure as hell kama angekuwa ananijua asinge act that fun crazy.
Nilifanya kazi ya ziada kuwashawishi baadhi ya boda boda wasiendelee kumpa kisago ( They were like unamzingua broo?)
Nyie boda boda sikieni maneno haya.
Kwanza najua wengi wenu mmetoka mkoa, mkifika mjini jifunzeni kuwa wajanja wajanja kidogo.
Hapa mjjni ukiona kijana ana nyumba, gari na vihelahela kidogo usi mtreat kinyonge.
Kwa sababu kwanza ana akili nyingi kuliko wewe ( Pesa inatafutwa kwa akili kwa hiyo amekuzidi akili )
Usiwe fooled na kampani ya bodaboda wenzako. Hawa mabroo wenye vihela hela wanakuwaga na " connection " na moja kati ya connection wanazo kuwaga nazo ni pamoja na " watoto wa mbwa" ambao ni wakorofi kuliko wewe na kampani yako.
Hahaha lohUnajua kuja hapa jukwaani na kutaka umma ujue kuwa una pesa,gari nnyumba na mfadhili wa Bodaboda inataka moyo mshikaji kaamua atoe taarifa kwa mtindo huo!