Nimempiga boadaboda mpaka nimemuonea huruma

Nimempiga boadaboda mpaka nimemuonea huruma

No hajaona chai ila amefurahia jinsi boda boda mkorofi aliyejitoa ufahamu alivyo rejewa na ufahamu wake ghafla na kuanza kutoa wosia. Anyway ukizijua ngumi kwanza zitakufanya kuwa na nidhamu lakini pili utazitumia kuwafanya watu wengine pia wawe na nidhamu
Ooh sawa
 
Daaah mkuuu hichi kisa najiona mimi leo nlienda kumsalimia sista mitaa ya kiwalani kwa Gude. Basi bana baada ya kumaliza nkaondoka zangu nipande gari kufika kituoni gari zinakuja zimejaa nkaamuwa nipande gari nizunguke nayo.Ile kufika machimbo mwisho wa lami dreva akasema siendelei gari ina hitilafu.
Basi bana ikatubidi tuteremke tupande gari jingine ile kuvuka barabara ilikuja boda boda ipo mkuku afu ni stendi pale.Nikaona nikienda mbele itanigonga nkirudi nyuma vile vile nkaamuwa kusimama ili ye anipishe,bwanae akanivaa tukapigizana uso kwa uso mi nkawahi nkaikamata ile piki piki asiniache alikuwa kampakiza mdada nkakaza mikono nkashika ule usukani wake.Ki uweli nimefunga ila nilimfurumishia ngumi tatu usoni.Kucheki kadondoka chini kumbe nimempasua,akaanza niomba msamaha mwenyewe nkamuonea huruma.Pale stend kuna maboda boda wakajaa alivowaona wenziwe duuh akapandwa na kibri na wao wakaanza kunizonga wananilaumu nkaona hapa ntaibiwa simu nikawa mpole wanaongea mi sijibu nkavuka nkapand gari nkarejea kwa sista kufika sista ananishangaa hee mbona una nundu usoni.Hata mishe mishe zangu leo zimekwama yaan nipo na nundu langu tu.
Pole sana, kwahio leo unalala kwa sista?
 
kweli kabisa.wengine utoto tu unawasumbua maana wengi ni vijana wadogo sana.Leseni zenyewe sijui wanapataje maana madereva wa magari watapata sana tabu nao.Yani wao wanaona kama wenye magari wanapaswa wavute tension wakiwaona hivyo anajiingiza kichwa kichwa akijua wewe unamwona.Sasa ukiwaparua kidogo basi hapo ugomvi matusi yani ushamba tu
Kitu nakubaliana na mleta mada wengi wa hawa bodaboda wametoka bush
 
Daaah mkuuu hichi kisa najiona mimi leo nlienda kumsalimia sista mitaa ya kiwalani kwa Gude. Basi bana baada ya kumaliza nkaondoka zangu nipande gari kufika kituoni gari zinakuja zimejaa nkaamuwa nipande gari nizunguke nayo.Ile kufika machimbo mwisho wa lami dreva akasema siendelei gari ina hitilafu.
Basi bana ikatubidi tuteremke tupande gari jingine ile kuvuka barabara ilikuja boda boda ipo mkuku afu ni stendi pale.Nikaona nikienda mbele itanigonga nkirudi nyuma vile vile nkaamuwa kusimama ili ye anipishe,bwanae akanivaa tukapigizana uso kwa uso mi nkawahi nkaikamata ile piki piki asiniache alikuwa kampakiza mdada nkakaza mikono nkashika ule usukani wake.Ki uweli nimefunga ila nilimfurumishia ngumi tatu usoni.Kucheki kadondoka chini kumbe nimempasua,akaanza niomba msamaha mwenyewe nkamuonea huruma.Pale stend kuna maboda boda wakajaa alivowaona wenziwe duuh akapandwa na kibri na wao wakaanza kunizonga wananilaumu nkaona hapa ntaibiwa simu nikawa mpole wanaongea mi sijibu nkavuka nkapand gari nkarejea kwa sista kufika sista ananishangaa hee mbona una nundu usoni.Hata mishe mishe zangu leo zimekwama yaan nipo na nundu langu tu.
Pole sana mkuu lakini hongera pia
 
Mkuu mleta mada mi hawa watu wananiudhi sana hapa mjini, unakuta mtu upo kwenye njia ya waenda kwa miguu lakini wao wanakuja kwa speed na mihoni kibao, hata hawajali kwamba hii njia ni ya watembea kwa miguu ni fujo tupu, na ukikaa vibaya wanakugonga, hata kama ni bangi sijui wanakula za wapi zinazowapa akili za namna hiyo.
 
Hahaaa. Kuna pub nilikuwa nimekaa. Sasa wakati nataka nitoke niingie barabara kubwa wakapita boda wawili wanafukuzana kwa speed kubwa. Mmoja akayumba akaja akaivaa gari kwa mbele na kuanguki mtaroni.
Nilipoona gari haijaumia nikataka nisepe. Sindio anakuja na kudai nimlipe eti nimemgonga. Nikaanza kumshushia kichapo. Mara yule mwenzake akaje. Nilikuwa karibu na jiko la kuchomea nyama. Nilichofanya ni kuweka nyama pembeni nikainua jiko lenye Moto na kumwagia yule aliyeingilia ugomvi. Asee alitoka nduki Hadi akasahau boda yake. Uzuri kwenye ile bar nafahamika so yakaisha.
 
I say sintorudia tena. Nina mshipa mmoja. Mara ya mwisho ilikuwa 2003. Nilikuwaga nikimpiga mtu ngumi mambo yafuatayo ilikuwa lazima yatokee.

1. Lazima azirai.

2. Lazima nikimbie.

3. Usiku silali kwetu nalala kwa uncle.

4. Lazima niamke saa kumi na moja alfajiri na kwenda hadi nyumbani kwao na jamaa kuona kama wameweka turubai kuna msiba.

Hali hii ilinitesa sana hadi nikaweka nadhiri kwamba sintopigana tena maishani.

Mara ya mwisho nilimliga jamaa akazirai nikakimbia.

Alafajiri naenda kwao kuchungulia nikakuta turubai nikasema "
Mungu wangu nimeua" sikutaka hata kuuliza nani amekufa.

Wakati nipo kwenye harakati za kutaka kutoroka nikasikia tangazo msikitini wanatangaza msiba kumbe aliefariki alikuwa baba wa jamaa niliye mpiga akazirahi nikasema " Alhamdulilahi"
Sasa mzee ni sababu una ngumi za kichawi
 
Mie kuna mmoja baada ya kunikosakosa, alisimamisha pkpk yake akianza kutoa matusi huku akisema alitaka kunvunja miguu.
Nilichomfanya nilimpa kichwa kimoja KITAKATIFU akaenda chini nikamuwahi huko huko nikashika kichwa chake nikaanza kukisugua kwenye lami
 
hahaa huyu ulimpa adabu mkuu hatarudia.
 
Bodaboda wa hapa mjini wana mentality moja ya kijinga sana.! Wanapokuwa barabarani they always act in this kind of foolish attitude " Tupo wengi ukinizingua ntaenda kuwaita wenzangu tutakuzingua"

Leo wakati narudi home " barabara" ya vumbi nimekutana na bodaboda mmoja yupo overspeed. Nikammwepa akaenda kugonga ukuta. Natoka nje ya gari jamaa ananifuata na kuanza kunimind huku ananitukana matusi ya nguoni kwamba mimi ndio nimesababisha yeye apate ajali. Wakati yote hayo yanatokea tayari watu walikuwa wameshaanza kujaa na walimuona wakati anakimbiza pikipiki yake .

Nadhani jamaa alipata ujasiri wa kunitukana baada ya kuona mavazi niliyokuwa nimevaa " Nilikuwa nimevaa kikristu" jamaa akaona hawa ndio walewale wakina Mathayo.

Nilimpa mshindo ( ngumi) wa nguvu mtu bidu chali kisha akaanza kutikisa kichwa kama bata kapigwa na manati.

Niliogopa sana nilidhani nimeua. Jamaa akatulia chini for like 10 minutes then baada ya hapo akanyanyuka akakaa. Nikazuga kama nataka kuendelea kumpiga fasta akaanza kutoa wosia ( Kaka ugomvi sio mzuri kaka and blah blah )
Eneo la tukio sio mbali na kijiweni anako park huyo unlucky bodaboda. Muda si mrefu wakaja bodaboda kikundi wakiwa na mwenyekiti wao kujua what is going on.

Jamaa alipo waona wenzake akapata nguvu akasimama na kuanza kuongea huku akiwa analia kwamba eti nimemuonea .

Unbeknownst to him mimi ni mmoja kati ya wadhamini wakuu wa Bodaboda Fc wa mtaani kwetu na bodaboda wananifahamu na kuniheshimu kupita maelezo.

Jamaa ni mgeni ndio maana hakuweza kunifahamu am sure as hell kama angekuwa ananijua asinge act that fun crazy.

Nilifanya kazi ya ziada kuwashawishi baadhi ya boda boda wasiendelee kumpa kisago ( They were like unamzingua broo?)

Nyie boda boda sikieni maneno haya.

Kwanza najua wengi wenu mmetoka mkoa, mkifika mjini jifunzeni kuwa wajanja wajanja kidogo.

Hapa mjjni ukiona kijana ana nyumba, gari na vihelahela kidogo usi mtreat kinyonge.

Kwa sababu kwanza ana akili nyingi kuliko wewe ( Pesa inatafutwa kwa akili kwa hiyo amekuzidi akili )

Usiwe fooled na kampani ya bodaboda wenzako. Hawa mabroo wenye vihela hela wanakuwaga na " connection " na moja kati ya connection wanazo kuwaga nazo ni pamoja na " watoto wa mbwa" ambao ni wakorofi kuliko wewe na kampani yako.
Wanaendesha wakiwawamesinzia.

Kuna mmoja mwaka jana nimesimama kwenye mataa.. nikasikia mshindo nyuma.. ile kugeuka jamaa yupo chini na bamba langu la nyuma limeharibika kumbe jamaa kagonga kwa nyuma.

Sasa ile nataka kumdhibiti akawasha boda yake aka kimbia.
 
Back
Top Bottom