Nimempiga mpenzi wangu baada ya kukuta ujumbe wa kimapenzi kwenye simu yake

Nashukuru kwa wote mlionipa moyo, ahsanteni. Jana nilikwenda saa 11 nikaambiwa kumbe hakupofuka jicho, ila uso ulivimba vibaya sana, na mkono uliteguka kwani nakumbuka niliunyonga, na mdomo wa juu ulipasuka kidogo.

Uzuri kule kaandika alivamiwa na vibaka, so nashukuru kwa hili!

Kifupi nna hasira mno, akizingua tena siwezi kumkawiza namzibua I don't care. Bora anitukane ila si kunijibu jeuri.

So nashukuru, bado namuuguza, now amepata nafuu.
 
Na ndio maana hujawa, hata ungekuwa usingeweza.[emoji13][emoji13]
 
Hilo mimi sijui. Iwe mke wangu au sio mke wangu, nabutua. Iwe ameamua au hajaamua sitaki kujua hilo atajua yeye.
 
Wewe si ni zee korofi? Usitulilie sisi. Ngoja akunyoooshe..
 
Unalelewa halafu jeuri ya kumpiga umetoa wapi?

Hujui huyo jamaa wa benki ndio anawaweka mjini?

Namshauri huyo binti akuripoti polisi.
 
Hilo mimi sijui. Iwe mke wangu au sio mke wangu, nabutua. Iwe ameamua au hajaamua sitaki kujua hilo atajua yeye.
Wewe ni mkorofi jina lako linasema hivyo na huyo demu wako fala sana na mshamba lakini jua mambo ya kupiga piga wanawake itakukosti sana na madamu ushampiga jua kuwa utampiga tena bro tafuta pesa hiyo tabia yako kinganganizi utaendeshwa sana na hao mabinti.
 
Ukizingua utapigwa tu
Wewe ni mwanaume dhaifu sana.
Unajiona mmiliki na hati ya umilikisho huna bure kabisa.

Yani ajihudumie yeye na wewe akuhudumie bado umpige🤣🤣brother ishi Kwa malengo mwana

Bado hujakomaa vizuri
 
😂😂😂
 
Asilimia kubwa ya wanachuo hawajatuliaa, c wasichana c wavulana.

Mlioowa wa standard 7 na form 4 mmepata bahati kubwa sanaa, ni wasichana ambao wanajitambuwa kwakweri, hawana vibuli, na wanahuluma kwa wammezao/wachumbawao.

Mlioolewa na wanamme wachamungu munabahati sanaa,,,haijarishi ana mali au hana almuhimu awe mchamungu, mpore, na mwenye upendo kwa mukewe/mchumba.

Nimemaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…