Nimempiga mwizi mapanga mawili ya kichwa, akifa Mungu nisamehe

Ingawa siyo vizuri kuua na kujeruhi,lakini umeufanyia kazi Ushauri wa IGP Sirro kuwa ni vizuri kila raia angalau kuwa na panga ndani ya nyumba kwa ajili ya kujihami.
Nadhani hata ungeenda Polisi kuripoti wasingekufanya cho chote!
 
Umeniangusha sana, ungechinja shingo kama kuku..
 
We Jamaa wa manta, unaroho ngumu sn [emoji1][emoji1]
 
Malizia mjumbe, nini kiliendelea?
 
Mwezi wa 4 mwingine huku kwetu alikamatwa raia wema ngoma ten alfajiri kwa wizi wa simu akiwa karuka geti kali, Alipigika tangu Alfajiri mpaka Asubuhi, Maaskari walikuja kuchukua mwili wa marehemu na kuupeleka mochwari.
 
Umefanya la maana sana.

Haya majitu nayatafutaga niyafutilie mbali na uso wa dunia,yanaboa na kurudisha maendeleo sana nyuma
 
Ungemtia na dole la kati,tumechoka na hawa wangese!
 
Kumuua MWIZI ni sawa na kumiliki BUNDUKI uswahili,,, maisha yako na wewe yako hatarini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…