Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usiwe na wasi, maisha yangu yenyewe tu ni ya hatari.Kumuua MWIZI ni sawa na kumiliki BUNDUKI uswahili,,, maisha yako na wewe yako hatarini.
ah ah ah dah mzee kwako kila kitu fursa..safi sanaNalihitaji hilo panga
Natoa vitu vyangu napeleka kwa rafiki yangu anae kaa mtaa mwingine, me mwenyewe najipigilia machakani hata ikiwa week mbili, naimani yatakwisha tu.Wenzake wanajua alipo uwawa jamaa yao hama hapo.
Pole na Hongera kwa kumkomesha mwizi ila asife, Sasa ndio nimeelewa ule mwito wa Simon Sirro, Kuwa kila mtu awe na panga walau, BORA YAKO Umetii bila shuruti.Mungu anajua sijawahi liua jitu hata siku moja lakini ikitokea lile jamaa likafa shauri yake na familia yake.
Mwaka jana nimeibiwa mara mbili nikahama mtaa.
Wiki iliyopita nimemkosa kidogo tu, ashukuru niliamka usingizini nikiwa na pombe kichwani na kupelekea kupiga kelele akasepa zake. Leo sasa kajikanyaga, asipokufa basi majeraha ya kichwa atayauguza mpaka tutakapo kutana motoni, jinga sana.
Ilikuwa hivi, nimerudi zangu mihangaikoni mida ya jioni kama saa kumi na moja.
Kwa uchovu wa kazi niliokuwa nao (kuchimba jamani sio sawa na kutia sign kwenye makaratasi) nikaamua kuoga na kujipumzisha kidogo, kutokana na uchovu, usingizi ukanipitia na kujikuta nimeamka mida ya tano usiku.
Kwakuwa mida ilishakuwa imeenda na watu walishalala nikaamua wacha itoke tu mpaka kesho.
Lakini kila nilipojaribu tena kulala usingizi ulikuwa haupatikani, nikaamua kutoa simu yangu, cha kwanza nikampigia mke wangu kujua hali zao yeye na watoto, nilipomaliza mazungumzo nikaingia mjengoni (JF) kupata kujua kinachoendelea duniani.
Kipindi naendelea na charting zangu, mara nasikia mtu kama anapushi mlango, nilitulia kidogo, eeh sindio naona kitasa kinavunjwa, hapo nikaifunika simu chini fasta ili asiuone mwanga wa simu, nikainuka na panga langu nikatulia pembezoni na mlango, kwamba akifungua mlango awe amenificha na ule mlango.
Kama aliingia ndani ya akili yangu, jamaa kafosi mpaka akafanikiwa, alivyoingia ndani (mkononi ana nondo) yeye akawa mbele mimi niko nyuma yake na ndani kiza hakuniona.
Mungu anisamehe, nikapeleka la kwanza, sikutaka kungoja fasta nikapeleka la pili mchizi chini kwenye sakafu, alipiga kelele moja tu ya mamaa khinakwa (kwa kimakua maana yake mama nakufa).
Nahisi nje kulikuwa na mwenzie akimpigia saiti mila, maana nilisikia vishindo vya mtu akikimbia.
Nilichofanya niliokota nondo yake na kuishika mkoni, mara jirani yangu tunaekaa chumba jirani akaamka na kuja chumbani kwangu, nikawasha taa, jamaa kafloti analia kwa sauti ya mbali.
Mpangaji mwenzangu nae ni mchimbaji kama mimi, tukashauriana tumbebe tukamtupe nje. Tukalibeba msobe msobe mpaka nje jirani na mitaa hii, tukalitupia huko.
Uzuri wa maeneo haya (mgodini) kila mtu anaangalia lake, hakuna hata alietoka nje, kushabikia.
Hapa nimemaliza kufuta damu chumbani kwangu, na sidhani leo kama nitalala.
Maduka kama yangekuwa hayajafungwa ilibidi nipate kikali (pombe kali) ili kutoa mawenge kichwani.
Akipona safi, akifa shauri yake.
🤣😂🤣😂Ni kweli kabisa ila hapo mimi ni dalali tuu
mkuu hawa watu siyo wa kuonewa huruma. we fikiri jamaa angemuwahi na nondo ingekuwaje?Kuuwa sio powa ila hao jamaa wanatafuta vifo kwa nguvu [emoji706]
pole mkuu nakumbuka ulileta na uzi humuJinga sana hawa, mwaka jana waliniamisha mtaa, baada ya kunisafisha kila kitu changu na kuniacha na nguo nilizo vaa mwilini tu.
Walinilaza kwenye mkeka week mbili kenge hawa.
Upo Msumbiji?Ebwana niko zangu maskani hapa, masela kibao (wamataifa mbali mbali) wenye kuvuta wanavuta wenye kunye kunywa wanakunywa, wengine wana chafua kamali (hayo ni maisha yetu ya kila siku wachimbaji tusipo ingia porini) stori kubwa ni madini tu, jana kazi ilifanyika na machizi kibao wana machenji mfukoni.
Nimejaribu kusikilizia story ya yule ladrao (mwizi kireno) bado sija sikia watu kuzungumzia, labda kutokana hapa matukio kama haya ni ya kawaida tu.
Niongee ukweli, hapa kitu kufa sijui mtu kuumia sio novidade (sio mpya ki reno) hapa watu wanashindana migao tu (pesa baada ya kugawana)
Naendelea kufuatilia, ila kuna wazo la baadhi ya wadau hapo juu, nimeamua kulifanyia kazi.
Nategemea kutoa vitu vyangu vyote nipeleke kwa mchizi wangu, ifikapo saa saa kumi na mbili niingie zangu maporini nikajaribu bahati yangu maana walio ingia jana usiku wengi wamerudi na migao ya kibabe.
Tupo pamoja lolote nitawajulisha.
Kilienda Sumbawanga kaka[emoji4][emoji4][emoji4][emoji16][B[Haaaah! Haaaah! Hv kaka kile KILINGE hakikupataga MWEKEZAJI?
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Jipya ni sawa na simu bila lainimkuu si ununue jipya
Ndio kakakaka si ulishaacha haya mambo?
Mshana umenifanya niwaze kuwa kwanini majambazi wakikubana wanakuua hawachukui kitu kumbe zana alizotumia ni dili.
Imenikumbusha nondo Mbeya.
Noma sanaMungu anajua sijawahi liua jitu hata siku moja lakini ikitokea lile jamaa likafa shauri yake na familia yake.
Mwaka jana nimeibiwa mara mbili nikahama mtaa.
Wiki iliyopita nimemkosa kidogo tu, ashukuru niliamka usingizini nikiwa na pombe kichwani na kupelekea kupiga kelele akasepa zake. Leo sasa kajikanyaga, asipokufa basi majeraha ya kichwa atayauguza mpaka tutakapo kutana motoni, jinga sana.
Ilikuwa hivi, nimerudi zangu mihangaikoni mida ya jioni kama saa kumi na moja.
Kwa uchovu wa kazi niliokuwa nao (kuchimba jamani sio sawa na kutia sign kwenye makaratasi) nikaamua kuoga na kujipumzisha kidogo, kutokana na uchovu, usingizi ukanipitia na kujikuta nimeamka mida ya tano usiku.
Kwakuwa mida ilishakuwa imeenda na watu walishalala nikaamua wacha itoke tu mpaka kesho.
Lakini kila nilipojaribu tena kulala usingizi ulikuwa haupatikani, nikaamua kutoa simu yangu, cha kwanza nikampigia mke wangu kujua hali zao yeye na watoto, nilipomaliza mazungumzo nikaingia mjengoni (JF) kupata kujua kinachoendelea duniani.
Kipindi naendelea na charting zangu, mara nasikia mtu kama anapushi mlango, nilitulia kidogo, eeh sindio naona kitasa kinavunjwa, hapo nikaifunika simu chini fasta ili asiuone mwanga wa simu, nikainuka na panga langu nikatulia pembezoni na mlango, kwamba akifungua mlango awe amenificha na ule mlango.
Kama aliingia ndani ya akili yangu, jamaa kafosi mpaka akafanikiwa, alivyoingia ndani (mkononi ana nondo) yeye akawa mbele mimi niko nyuma yake na ndani kiza hakuniona.
Mungu anisamehe, nikapeleka la kwanza, sikutaka kungoja fasta nikapeleka la pili mchizi chini kwenye sakafu, alipiga kelele moja tu ya mamaa khinakwa (kwa kimakua maana yake mama nakufa).
Nahisi nje kulikuwa na mwenzie akimpigia saiti mila, maana nilisikia vishindo vya mtu akikimbia.
Nilichofanya niliokota nondo yake na kuishika mkoni, mara jirani yangu tunaekaa chumba jirani akaamka na kuja chumbani kwangu, nikawasha taa, jamaa kafloti analia kwa sauti ya mbali.
Mpangaji mwenzangu nae ni mchimbaji kama mimi, tukashauriana tumbebe tukamtupe nje. Tukalibeba msobe msobe mpaka nje jirani na mitaa hii, tukalitupia huko.
Uzuri wa maeneo haya (mgodini) kila mtu anaangalia lake, hakuna hata alietoka nje, kushabikia.
Hapa nimemaliza kufuta damu chumbani kwangu, na sidhani leo kama nitalala.
Maduka kama yangekuwa hayajafungwa ilibidi nipate kikali (pombe kali) ili kutoa mawenge kichwani.
Akipona safi, akifa shauri yake.
Mmh Acha tu.. Flat yangu inchi 32 mpya na godoro inchi 10..vyote havina hata miezi 3.Mwizi ninkuacha afe tu, wamewahi safisha geto langu enzi hizo na kuniachia ndala na mapazia tu, siwapendi wezi na wafage tu...nilianza upya kila kitu.