Kama siyo nyingi weka kidogo. Hata ukitaka nyama iwive haraka tunaweka sukari badala ya chumvi ya magadi. Hata maharage. Jaribu na uniletee zawadi yangu baada ya kufanikiwaNjegere zenyewe hazikuwa nyingi, ukiweka sukari huo utamu wake hautaharibu ladha ya njegere?
sasa mbna upo nje kama si kosa?Anidunde kwa kosa gani
🤔🤔Njegere zenyewe hazikuwa nyingi, ukiweka sukari huo utamu wake hautaharibu ladha ya njegere?
Kesi zake huwa haziishi, hana jambo dogo.Kama ni aina ya wanaume wanaoongea maneno hawamalizi kazi unayo 😁.
Kuna wengine hususa hadi kutoa chakula ya NDOA.
Kwasababu hajui neno bahati mbaya atafoka tusasa mbna upo nje kama si kosa?
Hongereni sana muliooa wanawake wanaotumia muda mwingi mtandaoni kuliko jikoni kuboresha mapishi yaoIpo hivi.
Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki.
Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho.
Msaada tafadhali jinsi ya kuzitambua njegere ambazo haziivi ili nisifanye kosa la kuzinunua siku nyingine.
Mwachiluwi nipe maujuzi
Fake P huyu akiishi na boazi siku tatu anakimbia nyumbaKama ni aina ya wanaume wanaoongea maneno hawamalizi kazi unayo 😁.
Kuna wengine hususa hadi kutoa chakula ya NDOA.
Nashukuru sana.Kama siyo nyingi weka kidogo. Hata ukitaka nyama iwive haraka tunaweka sukari badala ya chumvi ya magadi. Hata maharage. Jaribu na uniletee zawadi yangu baada ya kufanikiwa
MamaKungwi wako ni nan kwel..?
Fanya ila nakusisitizia usisahau zawadi yangu baada ya kufanikiwaNashukuru sana.
Kwenye maharage nimeshawahi kujaribu na ikafanya kazi.
Binafsi sipendi sukari kwenye maharagwe nilimtembelea rafiki nukakuta kapika maharagwe kaweka sukari ile kutia mdomon tu nikamuuliza maharagwe umeweka sukari akasema ndio sikuendelea kulaKama siyo nyingi weka kidogo. Hata ukitaka nyama iwive haraka tunaweka sukari badala ya chumvi ya magadi. Hata maharage. Jaribu na uniletee zawadi yangu baada ya kufanikiwa
ndo na imagine blueband na chumvi halafu mboga dagaa ama mlenda!, acheni ujinga mtakuja kutuua nyinyi..🤣Blueband kwenye ugali ni sawa kabisa ugali unakuwa laini wa kuvutia.
Nashangaa mlivyomponda Abigail Chams kumbe nyie ndo hamjui maujuzi. Alikuwa sahihi
sawa haya nimakosa mdogomadogo, ila jitahd cku ingne ukipka njegere zinuie, huwa znaiva tuKwasababu hajui neno bahati mbaya atafoka tu
Unaweka kidogo sana hata huwezi kuisikia. Siyo unaungia kama chumviBinafsi sipendi sukari kwenye maharagwe nilimtembelea rafiki nukakuta kapika maharagwe kaweka sukari ile kutia mdomon tu nikamuuliza maharagwe umeweka sukari akasema ndio sikuendelea kula
Sukari itumike vizuri mboga weka chumvi chumvi nikiungo tosha
Sasa unadhani haya maujuzi ya kufanya njegere zilainike ningeyapata wapi zaidi ya hapa mtandaoni? Unadhani ukijifungia tu jikoni bila kutafuta means ya kujifunza ndo utajua kupika?Hongereni sana muliooa wanawake wanaotumia muda mwingi mtandaoni kuliko jikoni kuboresha mapishi yao