Nimempima UKIMWI nikakuta anao

Sasa kama unaogopa ngoma hivyo, kwa nini unaendekeza kunjunjana?
 
Hakuhitajiki na masururu wa uliofanya nao ngono Bali ni kukutana na mtu mwenye Vvu na unasema unataka kumkomoa.Mshahara wa dhambi ni mauti
 
Usimpe majibu,maana kama itatokea akajidhuru sheria inakubana moja kwa moja utaozea jela..huruhusiwi kumpima mtu kabla ya kumpa ushauri nasaha na kabla ya kumpa majibu lazima whether ameathirika au ni mzima ni lazima umpe ushauri pia
 
Mshahara wa dhambi ni mauti....
 
RIP
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31] mkuu mwenzio nmeanza PEP Leo
Jana nmejichanganya sehemu moja hiyo na yeye kasema aliwah kupima hivyo hivyo ila nmeona hapaaanaa
 
Vipi Naskia ukinywa hizo unaota ndoto Za ajabu ajabu ni kweli ?
 

Hahha polee, ulipiga dry au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…