Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Habari za Jumapili!
Huko mitandaoni wakati napitapita nikakutana na Clip inayomuonesha De. Chris mauki akiongea.
Dr. Mauki anasema anaamka Alfajiri saa 10 kwenda kufanya mazoezi pale Udsm. Akiwa mazoezini mara kadhaa anakutana na wavunja nazi usiku wakifanya shughuli zao za kishirikina.
Mauki anajenga somo lake la Kuteka Fursa mapema wengine wakiwa bado kitandani wamelala, akitumia mfano huo kama sehemu ya kukazia mada yake.
Akaingiza kidogo na theolojia(falsafa ya dini) kwa kunukuu aya ya biblia inayosema ufalme wa Mungu utatekwa na wenye nguvu.
Nimeona ni-share ujumbe huu tuweze kuujadili kwa manufaa ya umma!
Haya;
1. Ni kweli kuwahi kabla wengine hawajashtuka au wakiwa wamelala ni mbinu ya wakati wote yenye asilimia kubwa ya ushindi wako.
Kanuni hiyo kwa zamani, Mwanamke ambaye hataroka kwenda mtoni kuchota maji akaenda jua likiwa juu atapata maji machafu.
Kiroho, hakuna mganga atakayekufanyia maombi na uganguzi jua likiwa juu au watu wakiwa macho. Dawa zinazoshika na kukamata nizile za usiku wa manane.
Kibiblia tunawaona Kina Daniel, Yakobo, Yesu, n.k. wakiomba usiku mnene na wote tunajua visa vyao vinawapa nafasi ya watu waliojibiwa maombi magumu.
Kisayansi, na kiteknolojia, Wanaoperuzi na kuingia mtandaoni wakiwa wengi sta mfumo unakuwa mzito. Waliowahi kufanya application wanaelewa hili ishu.
Kiuchumi, Biashara ikiwa na wafanya biashara wengi hushusha thamani ya bidhaa. Kwamba supply inakuwa kubwa kuliko demand.
Kiajira, kozi zenye wahitimu wengi kama ualimu ni hekaheka na mbonde kupata kazi. Tofauti na kozi zenye watu wachache
2. Kufanya kitu mapema ni kiashiria cha imani, na ku-take risk
Kwenye biashara kuna kanuni ya uthubutu.
Fikiria wewe ndio wakwanza kwanza kuanza biashara fulani. Hiyo ni risk na imani pia. Na mazingira ya kufanikiwa ni rahisi tofauti na kusubiri wengine watangulie kisha wewe ufuate.
Tuendelee kujadili