bro alex
JF-Expert Member
- Jul 15, 2025
- 1,889
- 2,294
Kweli kakaHaitoshelezi. Na si formula. Kuna mambo mengi san yanayoleta mafanikio na si lazima kuchapa kazi kwa bidii. Niamini mimi.
Fullstop,kwishaaaaa
Kweli kakaHaitoshelezi. Na si formula. Kuna mambo mengi san yanayoleta mafanikio na si lazima kuchapa kazi kwa bidii. Niamini mimi.
Mpaka mseme na bado hamjasema😂😂
Uwaziri na ubunge sio taaluma. Hivyo ni vyeo au wadhifa, havina uhusiano wowote na taaluma.
Ujuzi unahitajika. Ni huku Afrika mlipozoea kufanya mambo vulga vulaga ndio maana mnadhani hakuna haja ya waziri kuwa mtu professional.Twende polepole kwa mifano uliyoitoa.
Kuwa waziri au kuwa Rais kunahitaji uwe na taaluma au ujuzi fulani mahususi?
Mjadala upo mezani, onyesha hoja zako ili watu wapate elimu. Sasa kuishiwa hoja mapema hivi inakuwa sio nzuri.
Ujuzi unahitajika. Ni huku Afrika mlipozoea kufanya mambo vulga vulaga ndio maana mnadhani hakuna haja ya waziri kuwa mtu professional.
Ulishawahi kuona Marekani Waziri wa Ulinzi ameteuliwa mwanamichezo ?