Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,107
- 10,609
Mafanikio yanategwa hayatafutwi
Kanuni katika eneo gani kwa sababu Maisha yana maeneo mengi kumaanisha yana kanuni nyingi
Mimi nlisema Maisha hayana kanuni. Nadhani wewe ukasema yanayo. Au nmekosea?
Maisha haya ni kufukuza na kufukuzana ndio maana Mungu aliweka kufa ili binadam apumzike maana fujo nyingi sana🤓🤓
Mbaya zaidi kadiri unavyopata ndiyo muda wa kulala unapungua
Mafanikio yanategwa hayatafutwi
Maisha haya ni kufukuza na kufukuzana ndio maana Mungu aliweka kufa ili binadam apumzike maana fujo nyingi sana
Hujakosea.
Mimi nikakuambia yanayo
Sawa. Maisha ni nini? Tunaenda vizuri nafurahi muelekeo wetu.
Maisha ni mfumo wenye mifumo mingi inayoendeshwa kwa formula ngumu na formula ndogondogo ambazo viumbe huzitumia kuyaendesha maisha yao iwe kwa kujua au kutokujua
Maisha ni mfumo wenye mifumo mingi inayoendeshwa kwa formula ngumu na formula ndogondogo ambazo viumbe huzitumia kuyaendesha maisha yao iwe kwa kujua au kutokujua
Maisha ni mfumo?
Mfumo wenye mifumo mingi inayoendeshwa na kanuni ngumu na kanuni ndogo ndogo ambazo "viumbe" huzitumia kuendesha mfumo wao wenye mifumo mingi iwe kwa kujua au kutojua? 😁
Umewahi soma Philosophy?
1. Soma
2. Soma tena
Itakusaidia.
Nipatie formula moja ya maisha.
Katika Falsafa maana ya neno tunaweza ipata katika dhana/dhahania ngapi? Na wewe hapa ulitumia ipi kupata hii yako. 😁 Mtusaidie sisi tusioajua mambo haya.
😁 Nguvu ipi?Sio nimewahi soma philosophy, Mimi ni mwanafalsafa. Sihitaji kusoma ili niwe mwanafalsafa.
Kanuni mojawapo ya maisha ni Mwenye nguvu ndiye hutawala.
Falsafa. Not isimu. Kwenye Linguistics nako ukitaka twende deep tutaenda ili unifundishe. Mimi hupenda sana jifunza.Inategemea unajadili falsafa au isimu
Falsafa. Not isimu
😁 Nguvu ipi?
Umefanya vizuri kuuliza.
Nguvu ya akili na nguvu ya kimwili
Nguvu ya akili ni ipi? Ya mwili naweza ihisi
Hiyo unayotumia kunijibu hapa ni sehemu ya nguvu ya akili yako
Sijawahi kukaa nao karibu wote kwa pamoja nifanye tathminiYa mwili naweza ihisi. Samia na Prof Kabudi. Samia kamzidi akili na nguvu ya mwili Kabudi?
Wewe na Nchengelwa. Kakuzidi vitu vyote viwili?
Amenizidi nguvu ya mwili( Finance and networks)Je wewe unakubali kuwa Babu Tale amekuzidi nguvu ya mwili na akili?