Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Formula ni nini?π€π€
Kwa hiyo kutafuta eneo la pembe tatu kwa vile kuna formula nyingi tuishie kusema hakuna formula ya pembetatu?
Ukisema hakuna formula moja ya maisha unaweza kuwa sahihi lakini kusema hakuna formula kabisa hapo lazima unipe hoja zenye mashiko
Sasa ntakujibu swali ambao hujaeleza Taaluma ni nini? Uwaziri ni nini? Ubunge ni nini? Ukijibu hayo nami ntakujibu kwa muktadha wako.
Formula ni nini?
ππ
Uwaziri na ubunge sio taaluma. Hivyo ni vyeo au wadhifa, havina uhusiano wowote na taaluma.
Kanuni ni nini?Kanuni
Hatutoi maana kwa kusema kitu flani sicho. Niambie taaluma ni nini. Uwaziri na Ubunge ni nini.
Si sawa kusema Busara si hekima. Ukasema umeelezea maana ya busara.
Uongozi ni nini?Taaluma ni maarifa na ujuzi ambao mtu huupata kwa njia Rasmi au zisizo rasmi zinazosaidia kufanya shughuli/kazi fulani.
Uwaziri na ubunge ni wadhifa wa kiuongozi
Sasa nieleze uwaziri ni taaluma kwa namna ipi?
Kanuni ni nini?
Taaluma ni maarifa na ujuzi ambao mtu huupata kwa njia Rasmi au zisizo rasmi zinazosaidia kufanya shughuli/kazi fulani.
Uwaziri na ubunge ni wadhifa wa kiuongozi
Sasa nieleze uwaziri ni taaluma kwa namna ipi?
Uongozi ni nini?
Je Kanuni huleta matokeo tofauti na matarajio?Kanuni ni mfumo wa sheria unaoelezea jambo kwa kifupi katika kutatua changamoto fulani
Kuna kanuni za kihisabati, ambazo ni za kisayansi.
Kanuni za Maisha ya kawaida n.k.
Shughuli/Kazi ni nini? Twende taratibu tu sheikh wangu
Mimi nakujibu kwa majibu yako. Utagundua unayo majibu ambayo ni mujarab kabisa. Polepole tu utanielewaπ€π€
So hatupo kwenye uzi tunazungumzia maswali na majibu
Je Kanuni huleta matokeo tofauti na matarajio?
Hapana sheikh wangu. Unisamehe sisi wazee wa zamani hufundisha kwa namna yakeImekuwa kama interview ama!
Mimi nakujibu kwa majibu yako. Utagundua unayo majibu ambayo ni mujarab kabisa. Polepole tu utanielewa
Hapana sheikh wangu. Unisamehe sisi wazee wa zamani hufundisha kwa namna yake
Safi sana. Haya nipe kanuni moja ya maisha. Tunaenda vizuri sasaKama hazitafuatwa zitaleta matokeo tofauti ndio
Safi sana. Haya nipe kanuni moja ya maisha. Tunaenda vizuri sasa
Hapana si kanuni yangu. Ntakuambia kanuni zangu tunapofunga mjadala.Njia uliyochagua ni sehemu ya kanuni zako?