Nimeshakupa sababu za kibailojia kwa nini umri mkubwa haupo upande wa mwanamke linapokuja suala la kupata mtoto. Hata kiafya mwanamke anapofika 35 huwa anakuwa considered a high risk kupata mimba.
Well said. Kuna mpuuzi atakuambia kukataza kutumia vipaza sauti dhambi. Wakati vipaza sauti vimetengenezwa juzijuzi na mzungu. Kazi kwelikweli!Kuna tatizo mahali lilizembewa kwenye mafunzo na mitazamo.
Mambo mengi yanabadilika kwa dunia ya sasa elimu ni jambo la muhimu na msingi sana tutakapo wakataza hawa watoto wa kike kupata elimu tutajenga taifa lenye watu wajinga baadae, sehemu kubwa ya wanaolea watoto ni wanawake sasa asipokua na elimu kwa dunia yetu unatarajia atakuza watoto watakao jielewa?
Kwahiyo kuna sababu kubwa ya kuwapa elimu na kuwapa muda wakue wapitie malezi stage zote ili kukomaa kiakili. Tatizo tunasimamia misingi ya dini ambayo haitatuendeleza zaidi ni kutoelewa tu mfano ukimtunza binti mpka miaka 18 ndipo awe huru kuolewa kwa Mungu ataandika dhambi?
Wenye dini zao wanabadili mambo fulani kuendana na dunia wapo waliokataza vipaza sauti kushtua watu asubuhi wakati kama unaimani unaamka mda wa sala sio kupaziana sauti za vitisho 😆😆😆😆
umri ni suggestions kila nchi inaweza kuweka taratibu zake...Hata unapoona sheria zipo ila vijijini wanaoana kabisa kwa ruhusa za wazazi na hakuna kitu serikalo inafanya .Umri mzuri ni kati ya miaka 18 mpaka 35.....nadhani ukisoma ile kadi ya kliniki ya mama mjamzito ya RCH imejieleza vizuri kabisa na sababu za kitaalamu.
Kwahiyo kwako Saudia Arabia ndo uislamu 🚮Leo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki.
Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu nchini Saudi Arabia, nchi ambayo ndo kitovu cha imani ya dini ya Kiislamu ulimwenguni umri wa ndoa ni miaka 18.
Sasa Sheikh Ponda sijui anasema Uislamu gani? Ifike kipindi sasa watu waache kutumia dini kuendekeza tabia zao za kipuuzi. Serikali iko sahihi kuweka umri wa ndoa kuwa miaka 18.
View attachment 2577735
Mi mwenyewe nashangaa. Nina anko wangu muislam kwelikweli ana zaidi ya miaka 35 ya ibada na hana sijda. I wonder hawa wengine huwa wanasugua makusudically 🙄Wana Sijida kama hawa wa huku?
We unavyojua wanaanzia umri gani?!Wanawake wanaanzia na umri gani?
Wewe mmatumbi unaweza tenganisha Saudi Arabia na uislamu?Kwahiyo kwako Saudia Arabia ndo uislamu 🚮
Kweli kabisaKwenye uislam hakuna taratibu zote zinazotuhusu night club,
Sio qran hata yesu alizaliwa na mama wa miaka 12Leo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki.
Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu nchini Saudi Arabia, nchi ambayo ndo kitovu cha imani ya dini ya Kiislamu ulimwenguni umri wa ndoa ni miaka 18.
Sasa Sheikh Ponda sijui anasema Uislamu gani? Ifike kipindi sasa watu waache kutumia dini kuendekeza tabia zao za kipuuzi. Serikali iko sahihi kuweka umri wa ndoa kuwa miaka 18.
View attachment 2577735
Mi ndo maana ikitokea mambo ya dini au Imani huwa kubishana sipendi kwakuwa watu wanatukana wengine wanatukana dini za wenzao kwahyo inakuwa haipendeziAngejua umri alobeba mimba mama ake yesu,asingekurupuka humu.
Je, quran inasemaje kuhusu Umri wa ndoa kwa mtoto wa kike?
Kama mwanamke anataka watoto 9 (naturally) atawapateje akianza kubeba mimba na miaka 35?Umri mzuri ni kati ya miaka 18 mpaka 35.....nadhani ukisoma ile kadi ya kliniki ya mama mjamzito ya RCH imejieleza vizuri kabisa na sababu za kitaalamu.
Hao ndio hata waarabu hawawataki maana wanaendekeza ujinga hawaijui dini wao kukurupuka tuWell said. Kuna mpuuzi atakuambia kukataza kutumia vipaza sauti dhambi. Wakati vipaza sauti vimetengenezwa juzijuzi na mzungu. Kazi kwelikweli!
Nitachangia. Lkn ningependa kuchangia kielimu.Leo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki.
Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu nchini Saudi Arabia, nchi ambayo ndo kitovu cha imani ya dini ya Kiislamu ulimwenguni umri wa ndoa ni miaka 18.
Sasa Sheikh Ponda sijui anasema Uislamu gani? Ifike kipindi sasa watu waache kutumia dini kuendekeza tabia zao za kipuuzi. Serikali iko sahihi kuweka umri wa ndoa kuwa miaka 18.
View attachment 2577735
18 mpaka 35 mbona umeshikilia 35 tuKama mwanamke anataka watoto 9 (naturally) atawapateje akianza kubeba mimba na miaka 35?
Sasa hapa kuna elimu gani mnyaanzimungu mwenyewe haelewi ulichoandikaNitachangia. Lkn ningependa kuchangia kielimu.
Nianze kukuuliza wewe unaunga moono serikali.
1. Je dini au imani
2. Gani
3. Nini maana ya ndoa
4. Kwanini Mariama anaitwa Bikira Maria.
5. Kwanini Non wanapaswa kuishi kama bikira Maria
6. Nini madhara ya kuolewa kati ya miaka 16 na 17.
7. Nini Madhara wanayoyapata wanyama kama mbuzi akipandwa mara tu baada ya kupevuka.
8. Hoja yako Unataka kuachieve nini
9. Kwa ulivyomuelewa wewe sheikh Ponda unadhani anataka kuachieve nini.
10. Kwa maana wewe unashauri binti wa miaka 16 mwenye matamanio afanye zinaa na asiolewe au asiolewe lkn asiache masomo kama ni mwanafunzi. Au afanye zinaa lkn ajichunge aspate mimba
Sasa tangu lini sheria ya quran ikazid sheria ya nchi!Je, quran inasemaje kuhusu Umri wa ndoa kwa mtoto wa kike?