Wew kama nani??Hawa kawii kuandamana wabakaji wakubwa hao,waache watoto angalau hata miaka 16 sio mbaya,hii dini ina shida kubwa sana wanachojua ni kuonana na kutalakiana tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew kama nani??Hawa kawii kuandamana wabakaji wakubwa hao,waache watoto angalau hata miaka 16 sio mbaya,hii dini ina shida kubwa sana wanachojua ni kuonana na kutalakiana tu.
Kwa hiyo kila alichofanya "Mtume" ni sahihi?Yan katka watu ambao hawana akili pamoja na wewe we unadhan saudia ndo uislam. Din ya kiislam inasimama yenyewe kama yenyewe hakuna cha msaudia wala nan mtume amemuowa A'isha akiwa na umr wa miaka 7 na kuanza rasim kuishi nae kindoa akiwa miaka 9 peleka mbele uko upuuzi wako
Hakuna andiko linalo sema kuwa rejea ya dini ya uisilamu ni saudia,bali saudia imeamua kuweka kigezo hicho cha miaka 18 kama serikali ikumbukwe serikali ya saudia sio msemaji wa wadini ya kiisilamu qur,aan inamtambua mtoto wa kike akisha anza kuona damu kila mwezi na kuota nywele kwenye kinena kawa mama bila kujali umri wake wewe unge mpinga kwa hoja sio saudia sio kiigizo chetu katika dini bali tunafuata qur,an na sunnah tu sio saudiaLeo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki.
Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu nchini Saudi Arabia, nchi ambayo ndo kitovu cha imani ya dini ya Kiislamu ulimwenguni umri wa ndoa ni miaka 18.
Sasa Sheikh Ponda sijui anasema Uislamu gani? Ifike kipindi sasa watu waache kutumia dini kuendekeza tabia zao za kipuuzi. Serikali iko sahihi kuweka umri wa ndoa kuwa miaka 18.
View attachment 2577735
Akianza kuona damu kila mwezi na kuota nywele chini kwa mujibu wa sheria ya uisilamu tayali kuolewaJe, quran inasemaje kuhusu Umri wa ndoa kwa mtoto wa kike?
Msichana mwisho anapo anza kuona damu kila mwezi hicho ndio kipimo chetu ss waisilm kumtambua kuwa tayali apaswa kuozeshwa nyiyi mnamtabuaje mtoto wa kike kuwa kakuawa?Waislam Watanzania Wana uchu na uchi wa tuschana tudogo.
Ni wajinga sana, wana maujinga mengi mno.
Jibu swali,kumbe hata uisilamu ujui wapi andiko linalo sema kuwa waisilamu tuwafuate wasaudia kuhusu dini?Sema wewe inasemaje? wewe unajua Quran kuliko wa Saudi Arabia?
Wewe ndie uliedharaulika sababu ujui unacho kisimamiaNilimuamini sana Sheikh Ponda ila kusema kweli leo nimemdharau sana. Kanisikitisha sana!
Ndio kusema wasaudia wamakuwambia kuwa kukomaa kwa mtoto wa kike ni kufikisha miaka 18 ndivyo qur,aan inavio sema?Nimemuuliza yeye anajua Quran kuliko wa Saudi Arabia?
[emoji3581]Mimi siyo muislam ila kibaiolojia haina haja ya kungojea miaka 18 kuolewa.
Mpinge kwa hoja usimuite muhuniUmesoma wapi iyo biology? Usikute ulikimbia umande huko unaleta maneno eti kibaiolojia! Muhuni tu wewe
Mtoto wakike utamtabuaje kuwa sasa afaa kuolewa?Sio sababu ya kuhalalisha ndoa za watoto!
Kwa maneno yako basi wengine watadai kwa sababu kuna ushoga mitaani basi tuhalalishe ushoga
Unampinga kwa hoja gani?Saudi Arabia si uislamu wala Qur'an. Ponda yupo sahihi kuhusu umri wa binti kuolewa kwa mujibu wa Dini ya kiislam ila hayupo sahihi katika dai la kuwa miaka 18 ni pendekezo la wakatoliki.
Kwa kigezo cha miaka 18 wamekiuka dini,ifahamike kuwa kuna uarabu na uisilamu ni vitu 2 tofaotiKwa hiyo unataka kusema Saudi Arabia hawafuati uislamu? Achaga ukapuku
Kwanza wewe ni dini gani samahani lakiniHuwezi tenganisha Saudi Arabia na Uislamu, ile ni nchi ya kiislamu rasmi na ndo kitovu cha uislamu na ndo mana hata kuhiji waislamu wanaenda Saudi Arabia.
Kama ingekuwa Quran imesema mtu aoe au kuolewa akiwa mtoto basi wa kwanza kuzingatia walitakiwa wawe Saudia
Wewe mmanyema unaeenda kuhiji Macca Saudi Arabia kwa nini utake kuoa kitoto kidogo wakati unapoenda kufanya ibadan ya hijja wanatambua umri wa ndoa miaka 18?
Huijui Biology, ungeijua usingeandika ulichoandika.Mimi siyo muislam ila kibaiolojia haina haja ya kungojea miaka 18 kuolewa.
Tatizo lako wewe huna hoja ya msingi swali dogo tu nijibu mtume alituachia kitu gani tukifuate hili tusipotee?Hiyo quran yenyewe kuna aya kabisa imeandikwa kwamba walishushiwa quran watu waliokuwa wanaishi saudi arabia. Tena kwa lugha yao kabisa ili waielewe..
Wewe mswahili na Quran wapi na wapi huku hata kuisoma unatumia lugha ya wa saudi arabia walioshushiwa quran kwenye ardhi yao.
Waliokuletea dini ya kiislam na kushushiwa Quran wanasema ndoa miaka 18. Wewe mswahili unabisha kwa kisingizio cha kuijua dini
Linapokuja swala la uislamu haizingatii rangi ya mtu Wala taifa lake ndio kigezo Cha ubora kwenye dini .Mwarabu hawezi kuwa bora kuliko Mwislamu asiye Mwarabu kwa sababu tu yeye ni Mwarabu. Bali ubora unatokana na taqwa (uchamungu, kumkumbuka Mwenyezi Mungu). mwenye kumcha Mwenyezi Mungu na kumtii ni bora kuliko mwenzake, bila ya kujali ni Mwarabu au si Mwarabu.Wewe ni muislamu kuliko Wasaudia?