Nimemtetea Prophet Lovi mtandaoni kwamba Tatoo alizichora kabla hajaokoka then nimekuwa rewarded

Mwili ni Kama kava la simu , Ila MTU anakaa ndani na sio physical appearance

Hivyo huyo nabii yupo sahihi Sana. I see him to the top
Kilicho ndani hujidhihirisha nje. Basi kama mwili usingekuwa na maana tungeruhusiwa kuzini, kupiga pombe maana hizo ni starehe za kimwili tu ambao umeiuita cover
 
Mganga anakuona una nini ati?🤪
 
hayo ni mambo ya kimwili,

Kwa hivyo kuvuta madawa ya kulevya sio shida ma'am ni mwili tu. Tuache utapeli. Unapokuwa mtumishi wa Mungu lazima uwe kielelezo Cha uungu sio shetani. Hizo tattoo Wala sio za wakati wa Muziki Bali amechora zingine ndio maana anapenda kuacha mikono wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…