Nimemtetea Prophet Lovi mtandaoni kwamba Tatoo alizichora kabla hajaokoka then nimekuwa rewarded

Nimemtetea Prophet Lovi mtandaoni kwamba Tatoo alizichora kabla hajaokoka then nimekuwa rewarded

hayo ni mambo ya kimwili,
Basi naomba mtu aje anifafanulie mistari hii kutoka Petro.
1701972122154.png
 
Last week niliandika Uzi hapa kuhusu namna unavyo weza kutengeneza pesa, network na connection kwa kufanya kazi ya KUBADILISHA UPEPO kuhusu watu wanao tuhumiwa au nyooshewa vidole na jamii kuhusu mambo mbalimbali.

Leo nimefanya jambo hilo kwa vitendo na nimekuwa monetary rewarded.

Ni hivi kama siku mbili zimepita zimesambaa picha mitandaoni zikimuonyesha mtu anae itwa Prophet Lovi.

Watanzania wana question kuhusu utumishi wa huyo mwamba kwa sababu.

1. Ana tatoo.

2. Ana rasta.

3. Ana vaa kipini.

Huko insta kwenye page husika, Mimi niliweka comment moja tu kwamba " watanzania Msiwe wavivu wa kufikiri hizo tatoo alizichora akiwa bado hajaokoka"

Dakika kumi nyingi nimepokea dm kutoka kwa mmoja kati ya sponsors wa mkutano wa mh.nabii.

Jamaa kapendezwa na comment yangu na kaomba niingie kwenye kamati ya (jina kapuni) na kibunda cha awali kimethibitishwa kwenye simu yangu (hawa jamaa.kumbe wanapiga hela sana aisee. Am thinking about something now)

Ndugu zangu katika zama hizi za maisha ya mtandaoni tujifunze kuzitumia fursa vizuri. Kila kitu ni fursa.

Tujifunze kutazama mambo kwa jicho la Engineer au mganga wa kienyeji.

Wakati nyinyi mnaona mto,ziwa au bahari, injinia anaona daraja.

Wakati wewe unajiona upo Sawa, mganga anakuona una jini mahaba.
Mganga anakuona una nini ati?🤪
 
hayo ni mambo ya kimwili,

Kwa hivyo kuvuta madawa ya kulevya sio shida ma'am ni mwili tu. Tuache utapeli. Unapokuwa mtumishi wa Mungu lazima uwe kielelezo Cha uungu sio shetani. Hizo tattoo Wala sio za wakati wa Muziki Bali amechora zingine ndio maana anapenda kuacha mikono wazi.
 
Back
Top Bottom