Nimemtetea Prophet Lovi mtandaoni kwamba Tatoo alizichora kabla hajaokoka then nimekuwa rewarded

Siku hizi ukristo ni uhuni tu, nawaza kuslimu, maana naona ndo dini pekee iliyobaki na hali ileile toka nikiwa mtoto hadi sasa. Ukristo unaingiza ushenzi mwingi sana makanisani. Kingine simwamini yesu kama ni mungu. Naamini mungu ni mmoja tu [emoji3516]
 
Kuna vitu vinachekesha sana,
Rafiki yangu mmoja tulikua tumesoma wote Kayumba primary.
Tuligonga nae bangi nyingi sana,ye sijui alikua hali ikafikia kapagawa.
Mara yuko na kandambili,mara kaja peku,
Ikabidi nimkimbie.
Ikapita muda mrefu sana.
Jamaa ni mwinjilisti,mwimbaji,na nabii mkubwa tu (maarufu)
Bahati mbaya au nzuri tulivagamiana sehemu huyu apa aisee nacheka we nabii njoo usalimie,
yaani alicheka mpaka akaanguka chini.
Akapoza bro Kausha jamaa wananiona hapa hili game tu.
Tukagonga tano katimka
 
LIKUD alisema mwenyewe kwamba amewekwa kwenye payroll.

Mimi sikuwahi kusema niko kwenye payroll.

Mimi sijasema chochote ambacho LIKUD hajasema mwenyewe.

Ushaelewa?
Kama ambao hatukuchallenge chochote tumeelewa, asipoelewa muhusika basi ni sikio la kufa.
 
MATUKIO 12 MUHAMMAD ALIJITENGENEZEA WAHI.

¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬

1. Alipomtaka mke wa mwanawe wa kulea(zayd), alitengenezea aya ya kuunga mkono. [ sura ya 33:37 . Al Tabari VIII, ukurasa wa 2-3]

2. Alipotaka wake zaidi ya wanne, alijitengenea Aya ya kuunga mkono. Sura 33:50

3. Aliposhikwa kitandani na mjakazi wake,alijitengenezeaa aya ya kujitetea . Sura 66:1-5

4. Alipotaka kubadilisha Qiblah, alijitengenezea Aya ya kuunga mkono. Sura 2:144

5. Alipotaka kuwabaka wanawake mateka, alijitengenezeaa aya ya kuunga mkono. Sura 4:24

6. Aliposikia mtu anataka kumuoa Aisha baada ya kifo chake, alijitengenezea aya ilio pinga swala hilo Sura 33:53

7. Alipoulizwa kuhusu yeye kuwaruhusu wanawake kujitolea kwake, alijitengenezea Aya ya kuunga mkono. Sura 33:51

8. Hali yake ya afya ya akili ilipoulizwa, alijitengenezea aya ya utetezi wake. Sura 7:184

9. Alipotaka watu watoke nyumbani kwake mapema baada ya kula, alijitengenezea aya ya kuunga mkono. Sura 33:53

10. Alipotaka kuoa wanawake bila ya kutoa mahari, alijitengenezea Aya ya kuunga mkono. Sura 33:50

11. Alipotaka kuoa wake wa Watoto wa mama zake wakubwa alijitengenezea aya kuunga mkono sura 33:51

12. Alipotaka kuoa watoto wa shangazi zake alijitengeneza aya kuunga mkono 33:51

¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬

NAENDELEA KUTOA ANGALIZO KUA MUHAMADI SIO MFANO MZURI WA KUIGWA DUNIANI UKITAKA UONEKANE KITUKO FANYA MAMBO MOJAWAPO HAPO JUU UONE DUNIA ITAKAVYO KUCHEKA...
 
Mtumishi anatoka zimbabwe? Mkongoman yule, si alikuwa anaimba na ndugu yake marehemu kwenye kundi lao la LONGOMBA'S
 
Nonsense.
Mpaka siku mtakapotolewa kafara ndio mtajua shetani yupo kazini.
 
Mafundisho ya mudy ni toxic.
 
Mwambie huyo mtumishi kuwa kaja mji wa waswahili ( watu wa pwani), awe makini wandewa wasije wakamla NUKUDI
 
Mam
Kilicho ndani hujidhihirisha nje. Basi kama mwili usingekuwa na maana tungeruhusiwa kuzini, kupiga pombe maana hizo ni starehe za kimwili tu ambao umeiuita cover
Mambo ya kiroho huwezi kuyaelewa Kwa kutumia macho ya nyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…