Siku hizi ukristo ni uhuni tu, nawaza kuslimu, maana naona ndo dini pekee iliyobaki na hali ileile toka nikiwa mtoto hadi sasa. Ukristo unaingiza ushenzi mwingi sana makanisani. Kingine simwamini yesu kama ni mungu. Naamini mungu ni mmoja tu [emoji3516]
MATUKIO 12 MUHAMMAD ALIJITENGENEZEA WAHI.
¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬
1. Alipomtaka mke wa mwanawe wa kulea(zayd), alitengenezea aya ya kuunga mkono. [ sura ya 33:37 . Al Tabari VIII, ukurasa wa 2-3]
2. Alipotaka wake zaidi ya wanne, alijitengenea Aya ya kuunga mkono. Sura 33:50
3. Aliposhikwa kitandani na mjakazi wake,alijitengenezeaa aya ya kujitetea . Sura 66:1-5
4. Alipotaka kubadilisha Qiblah, alijitengenezea Aya ya kuunga mkono. Sura 2:144
5. Alipotaka kuwabaka wanawake mateka, alijitengenezeaa aya ya kuunga mkono. Sura 4:24
6. Aliposikia mtu anataka kumuoa Aisha baada ya kifo chake, alijitengenezea aya ilio pinga swala hilo Sura 33:53
7. Alipoulizwa kuhusu yeye kuwaruhusu wanawake kujitolea kwake, alijitengenezea Aya ya kuunga mkono. Sura 33:51
8. Hali yake ya afya ya akili ilipoulizwa, alijitengenezea aya ya utetezi wake. Sura 7:184
9. Alipotaka watu watoke nyumbani kwake mapema baada ya kula, alijitengenezea aya ya kuunga mkono. Sura 33:53
10. Alipotaka kuoa wanawake bila ya kutoa mahari, alijitengenezea Aya ya kuunga mkono. Sura 33:50
11. Alipotaka kuoa wake wa Watoto wa mama zake wakubwa alijitengenezea aya kuunga mkono sura 33:51
12. Alipotaka kuoa watoto wa shangazi zake alijitengeneza aya kuunga mkono 33:51
¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬
NAENDELEA KUTOA ANGALIZO KUA MUHAMADI SIO MFANO MZURI WA KUIGWA DUNIANI UKITAKA UONEKANE KITUKO FANYA MAMBO MOJAWAPO HAPO JUU UONE DUNIA ITAKAVYO KUCHEKA...