Nimemtetea Prophet Lovi mtandaoni kwamba Tatoo alizichora kabla hajaokoka then nimekuwa rewarded

Nimemtetea Prophet Lovi mtandaoni kwamba Tatoo alizichora kabla hajaokoka then nimekuwa rewarded

Huyo ni mfanyabiashara wa dini kama ilivyo kina Mwamposa.

Mavazi yake na muonekano wake kwa ujumla ni sehemu ya packaging aliyochagua kufikia hadhira yake.

Mwisho wa siku wajinga ndio waliwao.

Kesho utaona vijana wa kupenda vinjunga watakavyojaa kupakwa mafuta.
 
Manabii wa miaka ishirini ijayo watakuwa wanavaa mtepesho na kubwia unga.
 
Kwa hivyo kuvuta madawa ya kulevya sio shida ma'am ni mwili tu. Tuache utapeli. Unapokuwa mtumishi wa Mungu lazima uwe kielelezo Cha uungu sio shetani. Hizo tattoo Wala sio za wakati wa Muziki Bali amechora zingine ndio maana anapenda kuacha mikono wazi.
Mkuu kuna sehemu nimesema kubwia unga ni jambo la kimwili
 
Last week niliandika Uzi hapa kuhusu namna unavyo weza kutengeneza pesa, network na connection kwa kufanya kazi ya KUBADILISHA UPEPO kuhusu watu wanao tuhumiwa au nyooshewa vidole na jamii kuhusu mambo mbalimbali.

Leo nimefanya jambo hilo kwa vitendo na nimekuwa monetary rewarded.

Ni hivi kama siku mbili zimepita zimesambaa picha mitandaoni zikimuonyesha mtu anae itwa Prophet Lovi.

Watanzania wana question kuhusu utumishi wa huyo mwamba kwa sababu.

1. Ana tatoo.

2. Ana rasta.

3. Ana vaa kipini.

Huko insta kwenye page husika, Mimi niliweka comment moja tu kwamba " watanzania Msiwe wavivu wa kufikiri hizo tatoo alizichora akiwa bado hajaokoka"

Dakika kumi nyingi nimepokea dm kutoka kwa mmoja kati ya sponsors wa mkutano wa mh.nabii.

Jamaa kapendezwa na comment yangu na kaomba niingie kwenye kamati ya (jina kapuni) na kibunda cha awali kimethibitishwa kwenye simu yangu (hawa jamaa.kumbe wanapiga hela sana aisee. Am thinking about something now)

Ndugu zangu katika zama hizi za maisha ya mtandaoni tujifunze kuzitumia fursa vizuri. Kila kitu ni fursa.

Tujifunze kutazama mambo kwa jicho la Engineer au mganga wa kienyeji.

Wakati nyinyi mnaona mto,ziwa au bahari, injinia anaona daraja.

Wakati wewe unajiona upo Sawa, mganga anakuona una jini mahaba.
Vya bure vina gharama
 
Acha uongo tattoo zingine kajichora akiwa tayari kaacha muziki. Pia kuhusu kipini umetudanganya huyo Nabii sio Mshona Wala Nini ni mkongomani aliyezaliwa na mama wa kikenya. Halafu kasome Biblia vizuri Samson hakuwa rasta Bali alikuwa na nywele nyingi.
 
Kwa hiyo, mtu kumsemea mwingine na anachokiamini ni kuwekwa kwenye payroll?

Wewe umekuwa mdau mkubwa wa kupinga uwepo wa Mungu, je nawe pia upo kwenye payroll ya Wapingaji hao?
LIKUD alisema mwenyewe kwamba amewekwa kwenye payroll.

Mimi sikuwahi kusema niko kwenye payroll.

Mimi sijasema chochote ambacho LIKUD hajasema mwenyewe.

Ushaelewa?
 
Acha uongo tattoo zingine kajichora akiwa tayari kaacha muziki. Pia kuhusu kipini umetudanganya huyo Nabii sio Mshona Wala Nini ni mkongomani aliyezaliwa na mama wa kikenya. Halafu kasome Biblia vizuri Samson hakuwa rasta Bali alikuwa na nywele nyingi.

Sasa kwa wakongoman si ndio umeweza kabisa mkuu..kuna makabila kibao tu huko wanaume wanatoboa pua. West Africa ndio usiseme. Hata Pac alivyo toboa alikuwa ana enzi tamaduni hiyo.

Kuhusu suala la kuchora tatoos nyingine akiwa ameacha muziki our of 7 billions people on earth ur the only one who is aware of it.
 
Huyo ni mfanyabiashara wa dini kama ilivyo kina Mwamposa.

Mavazi yake na muonekano wake kwa ujumla ni sehemu ya packaging aliyochagua kufikia hadhira yake.

Mwisho wa siku wajinga ndio waliwao.

Kesho utaona vijana wa kupenda vinjunga watakavyojaa kupakwa mafuta.

ur the true son of your father. Jamaa amejitofautisha na watumishi wengine na amentrend Africa yote
 
LIKUD alisema mwenyewe kwamba amewekwa kwenye payroll.

Mimi sikuwahi kusema niko kwenye payroll.

Mimi sijasema chochote ambacho LIKUD hajasema mwenyewe.

Ushaelewa?
Achana na hearsay.

Una uhakika kuwa amewekwa kwenye hiyo payroll? Ama anabwabwaja?

Tukikuambia utuletee kithibitisho kuwa yupo kwenye payroll utaleta? Kama huwezi kuleta kwa nini uamini kiasi cha kueleza jukwaani kwamba yupo humo?

Si wewe ambaye kila wa leo unatafuta kidhihirisho cha wazi kuwa Mungu yupo? Na kwa kuwa haonekani wazi, umekuwa ng'ang'ari kila wakati?

Kwa kuwa umemuamini LIKUD kwa maneno yake pasipo kukuthibitishia, kwa nini huwa unawaona waaminio kuwa mahayawani? Nawe pia hayawani kwa muktadha huo?

Umeelewa?
 
Kama hayupo kwenye payroll thibitisha hilo, pia ni kosa lake na stahili kuchukuliwa kuwa yupo kwenye payroll.

Yani kujamba ajambe LIKUD, halafu lawama unanipa mimi kwa sababu nimesema LIKUD kajamba?

Maana katuambia mwenyewe.
 
Back
Top Bottom