Nimemtia mimba mzazi mwenzangu akiwa kwenye ndoa yake ya miaka 7. Nifanye nini?

Nimemtia mimba mzazi mwenzangu akiwa kwenye ndoa yake ya miaka 7. Nifanye nini?

Mimi nakushauri hivi kama mume wake amemkataa ...basi beba majukumu yako...km baba !! Mtafutie mahali umpangishie ...maana hapo kunachofata lazima uje kuhusishwa katika kesi ya maaji ...unajua mwenzio anawaza nini kwa sasa huko aliko???
Ana kazi nzuri na mshahara mnene kuliko mm mkuu. Fedha anayo, nadhani anaweza kujitenga endapo mumewe atazingua.
 
Malizia story kwanza hio mimba iliingiaje, seminar tu harafu mimba kuna vitu umeluka hapa katikat


Au nenda kwenye ule uzi wa kula tu kimasiala
 
Hivi hamkomi tu pekupeku
Kazi kuwatesa watoto tu
Kuzaa zaa hovyo ndio sifa yenu
Mkuu asikwambie mtu, mpenzi wa zamani mkionana naye maeneo mapya kama yale ya semina, shetani huwa anatetemesha mishipa ya....
 
Malizia story kwanza hio mimba iliingiaje, seminar tu harafu mimba kuna vitu umeluka hapa katikat


Au nenda kwenye ule uzi wa kula tu kimasiala
Mkuu nimeandikia kikubwa kwasabb watoto waliomaliza kidato cha 4 wamejazana humu. Wakirudi shule nitarekebisha
 
Sasa umeota mbele na nyuma? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nnasingle maza ananipenda sana
Nataman awe mke wangu ila!
 
Yani sisi wake zetu tunawaoa wakiwa wameshatangulia mbele 0:1 tunasawazisha bado mnaongeza tena?
Jamaa alikua 1:0 akasawazisha na kuongeza lingine ikawa 1:2 huyu baharia kaona uzembe huu kasawazisha saivi n 2:2 japo kuna utata kidogo tunasubiri majibu ya VAR
 
tumechoka kushauri ujinga, mpe mimba nyingne tena akishazaa hiyo
 
Nyie ndo wale mabaharia tukiwaolea mama watoto wenu mnakuja kupasha kiporo shame on you mkuu

Sahivi mkitia mimba mtawaoa acheni kubebesha wenzenu zigo la msumari
 
Back
Top Bottom