Nimemtia mimba mzazi mwenzangu akiwa kwenye ndoa yake ya miaka 7. Nifanye nini?

Nimemtia mimba mzazi mwenzangu akiwa kwenye ndoa yake ya miaka 7. Nifanye nini?

Write your reply...hongera huo ndo udume wa mbegu unapanda kila mahali

mzee olengai kloriti ana watoto almost jiti au thema nenga huko nainokanoka ngorongoro anamiaka 90 we kijana damu inachemka unaogopa nini
 
A moment of pleasure and An act of carelessness can shut down many dreams! play safe, love life!!!!
 
Mkuu it's a true story. Nipe mawazo yako
Hivi expert member wa Jamii forum ndo mnakuwa na traits hz?si bora waweke member tu tuelewe šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜….
Ndo maana nasema wewe bado ni mvulana,ukishakuwa mwanaume ndo uje tutakuelewa
 
Ni marufuku kuoa mwanamke aliyezalia nyumbani maana wanapokutana na baba mtoto huwa wanajikumbushia.
Sawa sawa, katibu hakikisha hii pointi inakuwa ya kwanza kuandikwa.
Kuna mwingine?
tapatalk_1575315463990.jpeg
 
Back
Top Bottom