Nimemtia mimba mzazi mwenzangu akiwa kwenye ndoa yake ya miaka 7. Nifanye nini?

Mtihani uandae wewe, making skimu sisi. Aisee
 
Chakufanya wewe ikatae. Sababu ata first place inabidi mwenye mke ndo awe 1st suspect wa kumiliki iyo mimba. Acha ijulikane hivo mpaka pale mtoto atakapozaliwa. Uskute ata mimba sio yako ni ya jamaa. Hapa inabidi usimchekee uyo mzazi mwenzio. Weka msimamo wako na mwambie nayeye awe strong. Mtoto akishazaliwa ndo utakua muda muafaka wa kupata majibu sahihi.
 
Hii ungeleta tu kama story ya kijiweni lakini naamini haikuhusu.
 
Miaka 9 iliyopita nilimtia mimba mwanachuo wa mwaka wa 2 akajifungua mtoto wa kiume. Hatukuweza kuoana maana na mm ndiyo kwanza nilikuwa nina mwaka mmoja mtaani sina mbele wala nyuma.

Hivyo kila mtu alishika 50 zake na kutafuta mwenza wake mpya wa maisha. Lkn malezi ya mtoto niliyabeba kama baba.

Yeye ndiye aliyekuwa wa kwanza kumpata mwenza wake wa maisha. Alimpata miaka 7 iliyopita na sasa wana watoto 2 ndani ya ndoa yao.

Mm nilichelewa kidogo kwasabb ya kujipanga kimaisha, ndoa yangu ndiyo kwanza ina miaka 2 na nina mtoto wa miezi 7.

Miezi 2 iliyopita nilienda semina mahali fulani. Nikakutana na mzazi mwenzangu naye akiwa ni mshiriki wa semina ile. Kwa kuwa mke wangu ana katoto kachanga ka miezi 7, na kwakuwa huyu mzazi mwenzangu tumekutana mazingira mapya ya semina, na kwakuwa jicho lilimtamani kwa jinsi alivyo nawiri na kustawi basi semina ilienda vizuri.......

Juzi nimepigiwa simu na mzazi mwenzangu akidai ana mimba yangu na mumewe amegoma kuikubali.

Sasa mabibi na mabwana, nawauliza suala hili nilishughulikie vipi?
- nikubali ama niikatae mimba hii?
- nikiikataa itakuwaje endapo mtoto atafanana na mm na mumewe anaijua chapa yangu kupitia mtoto wangu wa kwanza?
- na je, nikikubali mke wangu patakalika?

Naombeni suluhisho la suala hili pasipo kuvuruga ndoa yangu changa.
Wale mnaobishaga na kukataa "SINGLE MAZA HAWAOLEWI" nadhani MME PATA PICHA.
 
Mimba ya miezi miwili tu tayari mme ‘keshaikataa’ kivipi, basi ujue huyo demu kimeo na wala sio wewe tu.... hii chai umeleta kwa lengo la kuwachafua singo mama’s.
 
Miaka 9 iliyopita nilimtia mimba mwanachuo wa mwaka wa 2 akajifungua mtoto wa kiume. Hatukuweza kuoana maana na mm ndiyo kwanza nilikuwa nina mwaka mmoja mtaani sina mbele wala nyuma.

Hivyo kila mtu alishika 50 zake na kutafuta mwenza wake mpya wa maisha. Lkn malezi ya mtoto niliyabeba kama baba.

Yeye ndiye aliyekuwa wa kwanza kumpata mwenza wake wa maisha. Alimpata miaka 7 iliyopita na sasa wana watoto 2 ndani ya ndoa yao.

Mm nilichelewa kidogo kwasabb ya kujipanga kimaisha, ndoa yangu ndiyo kwanza ina miaka 2 na nina mtoto wa miezi 7.

Miezi 2 iliyopita nilienda semina mahali fulani. Nikakutana na mzazi mwenzangu naye akiwa ni mshiriki wa semina ile. Kwa kuwa mke wangu ana katoto kachanga ka miezi 7, na kwakuwa huyu mzazi mwenzangu tumekutana mazingira mapya ya semina, na kwakuwa jicho lilimtamani kwa jinsi alivyo nawiri na kustawi basi semina ilienda vizuri.......

Juzi nimepigiwa simu na mzazi mwenzangu akidai ana mimba yangu na mumewe amegoma kuikubali.

Sasa mabibi na mabwana, nawauliza suala hili nilishughulikie vipi?
- nikubali ama niikatae mimba hii?
- nikiikataa itakuwaje endapo mtoto atafanana na mm na mumewe anaijua chapa yangu kupitia mtoto wangu wa kwanza?
- na je, nikikubali mke wangu patakalika?

Naombeni suluhisho la suala hili pasipo kuvuruga ndoa yangu changa.
Dah kumbe kweli mnapashaga viporo... Kweli usioe single mother
 
Kitanda hakizaagi haramu mkuu
 
Kwa hiyo sisi ndio tuumize kichwa kuwaza utafanyaje pambana na hali yako.

Sukari imemponza, kalamba yake hakuridhika, mpaka ya jirani kavamia sasa kavimbiwa Anaomba msaada..... tunamsaidie Naye kajishibisha kupita kiasi!
 
Back
Top Bottom