Aiseee![]()
Mume wangu nimemchoka mpaka akinisogelea nasikia harufu ya chatu
Wanajamvi nin miaka 3 tu kwenye ndoa lkn nimemchoka mume wangu hatari. Akisogea karibu yangu nasikia harufu ya chatu na siyo ya binadamu. Usiku huwa kuna muda nakosa usingizi kwa mawazo juu ya hili dubwana. Najutia kuwa na hili dubwana ktk maisha yangu. The man is really caring. Juzi juzi...www.jamiiforums.com
Asante kwa kutia neno.Mwanaume huwa halaumu wala kujimbwambafai bali huwa anatoa ushauri
Kila siku anabadili gender, halafu nyuzi zake nyingi ni chai![]()
Mume wangu nimemchoka mpaka akinisogelea nasikia harufu ya chatu
Wanajamvi nin miaka 3 tu kwenye ndoa lkn nimemchoka mume wangu hatari. Akisogea karibu yangu nasikia harufu ya chatu na siyo ya binadamu. Usiku huwa kuna muda nakosa usingizi kwa mawazo juu ya hili dubwana. Najutia kuwa na hili dubwana ktk maisha yangu. The man is really caring. Juzi juzi...www.jamiiforums.com
Hua anafurahisha genge tu huyo.Kila siku anabadili gender, halafu nyuzi zake nyingi ni chai
Hana jinsia huyo.Aiseee
Wazo zuri sana,hopefully modes watachukulia kwa uzito stahiki.We si ndo yule mpuuzi unayekuha na jinsia tofauti kila siku. Hivi JF staff hawana hata nafasi za wazi kuwa mod kwa kujitolea. Najitolea nahakikisha nalima ban watu kibao wanaoleta ujinga afu naacha kazi. Hii naifanya within one week
Kwa hiyo sisi ndio tuumize kichwa kuwaza utafanyaje pambana na hali yako.
Ikatae. Sema it wasnt me.
Usimsingizie shetaniMkuu asikwambie mtu, mpenzi wa zamani mkionana naye maeneo mapya kama yale ya semina, shetani huwa anatetemesha mishipa ya....
Ole kutia pumbuni.Miaka 9 iliyopita nilimtia mimba Mwanachuo wa mwaka wa 2 akajifungua mtoto wa kiume. Hatukuweza kuoana maana na mimi ndiyo kwanza nilikuwa nina mwaka mmoja mtaani sina mbele wala nyuma.
Hivyo kila mtu alishika 50 zake na kutafuta mwenza wake mpya wa maisha. Lakini malezi ya mtoto niliyabeba kama baba.
Yeye ndiye aliyekuwa wa kwanza kumpata mwenza wake wa maisha. Alimpata miaka 7 iliyopita na sasa wana watoto 2 ndani ya ndoa yao
Mimi nilichelewa kidogo kwasababu ya kujipanga kimaisha, ndoa yangu ndiyo kwanza ina miaka 2 na nina mtoto wa miezi 7.
Miezi 2 iliyopita nilienda semina mahali fulani. Nikakutana na mzazi mwenzangu naye akiwa ni mshiriki wa semina ile. Kwa kuwa mke wangu ana katoto kachanga ka miezi 7, na kwakuwa huyu mzazi mwenzangu tumekutana mazingira mapya ya semina, na kwakuwa jicho lilimtamani kwa jinsi alivyo nawiri na kustawi basi semina ilienda vizuri.
Juzi nimepigiwa simu na mzazi mwenzangu akidai ana mimba yangu na mumewe amegoma kuikubali.
Sasa mabibi na mabwana, nawauliza suala hili nilishughulikie vipi?
Naombeni suluhisho la suala hili pasipo kuvuruga ndoa yangu changa.
- Nikubali ama niikatae mimba hii?
- Nikiikataa itakuwaje endapo mtoto atafanana na mm na mumewe anaijua chapa yangu kupitia mtoto wangu wa kwanza?
- Je, nikikubali mke wangu patakalika?
Nimekupata mkuu.UMENIPATA NDUGU MWANASEMINA????