Ana kazi nzuri na mshahara mnene kuliko mm mkuu. Fedha anayo, nadhani anaweza kujitenga endapo mumewe atazingua.Mimi nakushauri hivi kama mume wake amemkataa ...basi beba majukumu yako...km baba !! Mtafutie mahali umpangishie ...maana hapo kunachofata lazima uje kuhusishwa katika kesi ya maaji ...unajua mwenzio anawaza nini kwa sasa huko aliko???
Basi sawa mkuu. Hata kama meno ya mtoto yatatoka nje kama mm na kichwa kiwe kimebonyea kama mm. Nikatae tu?Kwani wewe pekee ndio jeusi? Wewe kataa.
Mzazi mwenzanguJibu swali.
Mimba hiyo anayo mzazi mwenzio au Unayo wewe?
Eti mabaharia mnalizungumziaje suala la kuoa mwanamke mwenye mtoto?View attachment 1280827
Mkuu asikwambie mtu, mpenzi wa zamani mkionana naye maeneo mapya kama yale ya semina, shetani huwa anatetemesha mishipa ya....Hivi hamkomi tu pekupeku
Kazi kuwatesa watoto tu
Kuzaa zaa hovyo ndio sifa yenu
Mkuu nimeandikia kikubwa kwasabb watoto waliomaliza kidato cha 4 wamejazana humu. Wakirudi shule nitarekebishaMalizia story kwanza hio mimba iliingiaje, seminar tu harafu mimba kuna vitu umeluka hapa katikat
Au nenda kwenye ule uzi wa kula tu kimasiala
Kwa hiyo sisi ndio tuumize kichwa kuwaza utafanyaje pambana na hali yako.
Watu tushavulugwa na life kitaa 😁😁Wakati semina inaenda vizuri hakutuomba ushauri
Watu tushavulugwa na life kitaa [emoji16][emoji16]
Kwa nani?Hawachi natamani kula tunda kimasihara..
Jamaa alikua 1:0 akasawazisha na kuongeza lingine ikawa 1:2 huyu baharia kaona uzembe huu kasawazisha saivi n 2:2 japo kuna utata kidogo tunasubiri majibu ya VARYani sisi wake zetu tunawaoa wakiwa wameshatangulia mbele 0:1 tunasawazisha bado mnaongeza tena?
Watu tushavulugwa na life kitaa [emoji16][emoji16]