Nimemtimua Nabii aliyekuja kumtembelea Mke wangu

😂😂😂😂
 
Kwani unadhani ni wewe basi[emoji16] jitutumue tu lakini hata wewe umetumiwa tu kufukuza Nuru. Mizimu ya kwako na kwenu I mefanya hayo we Relux tu. Ukristo alileta Paulo. Ila yupo Yesu aliye hai iliyempa Neema mkeo nawe umeipiga teke. Wale watumishi wanajua kikwaxo ni wewe Yeye kumtukuza Mungu.

Hawatakuja ila hawata acha Roho hiyo ipotee wataomba walipo. Mungu atatengeneza njia pasipo na Njia. Vilivyo ndani yako Mizimu itapigwa huwezi Kuoa Mwili na Roho wanaume tunajisahau sana. Mbona utalainika tu we subiri.

Utawaita mwenyewe ama utaenda kanisani. Mwache mke aabudu wewe huwezi mzuia Mungu na ibirisi wako ndani yako.

Imani yako na ukristo wako ni wa Baba na ukoo wako umeridhi huko wala sio imani ya Mungu. Mkeo anaweza kuwa njia ya wewe kwenda mbinguni.

Eti mkristo, Kristo ni wa Upendo na hagawanyiki we unataka kumgawanya. Pia acha uzinzi
 
Ke wanadanganywa sana na hawa watu. Mbaya zaidi wanawasikiliza kuliko mtu yeyote.
 
Upo sahihi kiongozi hao wa mafuta na materials things sio au eti sadaka zinatolewa ka class kwamba wenye laki pita mbele, wenye elfu 5, sijui wenye 25 e.t.c kwamba huwa najiuliza kwamba Mungu wetu huyu huyu Mwingi wa rehema agawe baraka tofauti! Rejea kisa cha mama mjane aliyetoa senti mbili...

Ila All in All binadamu wate tunamwitaji Mungu katika maisha yetu maana ndipo uzima wetu ulipo! Binadamu atafurukuta weeh angaika weeh mwisho siku huwa anarejea kwa Muumba na kuanza kuitafuta kweli..Kwahiyo huyo mtoa maada kuna siku atawahitaji hao wana maombi hata washinde kwake..
Utahangaika kwa waganga weeh mwisho wa siku unarudi kwa Mungu Mwingi wa huruma

NB; Tunamuhitaji Mungu sana katika maisha yetu
 
Mtu akikamatika watu wanahangaika kutafuta pesa za matibabu na sio manabii.

Kuwa na Akili hata kidunchu
kuna wakati hata pesa haifanyi kazi mzee, dawa hazifanyi kazi. hujakamatika tu uone moto wake. omba tu Mungu yasikukute. trust on material things has a limit, kuna mpaka wake ambao utakiri wewe kwamba hapa anayeweza kuniokoa ni Mungu tu kwasababu vitu vyooote unavyovitegemea na kuviamini kwamba vitakuokoa havitafanya kazi au vitakuwa vimefanya kazi hadi kufikia mwisho wake.
 
acheni udikteta kwa wake zenu, hao nao ni wanadamu wenye mwili na nafsi binafsi kama mlivyo nini, hawatakiwi kuwa watumwa. si ukute dini yenyewe unamlazimisha asali ni catholic ambao ndio wamepotea kabisa.
Catholic church hawana kelele.
 
ila kuna siku huwa mnakamatika mmetandikwa na shetani hadi mnajisaidia vitandani hapohapo, na mnawatuma wake zenu wakawaite wachungaji wawaombee walau kwasababu wanganga wa kienyeji, madaktari, na mapadre wameshindwa kuwasaidia. omba Mungu yasikukute. wokovu ni lazima, ukiwa unasali kanisa linakataza kuokoka au haliamini kuokoka sawasawa na walivyokuwa wanaamini mitume wa kwanza, hiyo ni dini tu, kimbia. na catholic ni mojawapo. huwa hatuwasemi kwasababu tunawachukia, Nooo, tunajaribu kuwasaidia mtoke upofu kwasababu mnapoteza muda na wengine mnajua kabisa kuwa mnapoteza muda, ila wengine hawajui hadi tuwapigie kelele pengine watasikia waokoke. hata kipindi Yesu alikuwepo aliwapigia sana kelele mafarisayo na masadukayo ambao walikuwa wameanzisha na kuendeleza vingi ambavyo catholics mlikuja kuvikuta, lakini Yesu aliwapigia kelele wabadilike.

pia, catholics mmeanzisha nini ambacho sisi wengine tunatumia? Biblia? hii iliandikwa na Roho Mtakatifu, na ukisema kanisa, kanisa halijaanzishwa na catholics, kama unaamini hivyo mnadanganywa. kanisa la kwanza la akina Paulo, Petro, Yohana n.k halikuwa hili la catholics. why?
1. kanisa la kwanza waliamini kuokoka, catholics hawaamini kuokoka.
2. kanisa la kwanza hawakuwa wanakunywa pombe, catholics ni walevi.
3. kanisa la kwanza waliamini ujazo wa Roho na kunena kwa lugha, catholics wanapinga hilo na hawana Roho.
4. kanisa la kwanza waliombea na kuponya wagonjwa kama huduma ya Yesu, catholics hawawezi kuponya hata unywele tu.
5. kanisa la kwanza hawakuwa wanamwabudu bikira maria, catholics wanaabudu na kuomba kwa bikira maria.
6. kanisa la kwanza hawaombi kwa wafu, waliomba kupitia Jina la Yesu tu, catholics wanaomba kupitia wafu.
7. kanisa la kwanza hawakuabudu masanamu, catholics wanaabudu masanamu ya yesu wa kwenye sinema hadi leo hii.

kuna mengi mno, ambayo yanawafanya dini yenu iwe ya kipagani kabisa lakini hata tuwaambie huwa hamuelewi.
 
but among the most lost church on planet earth.
TOA vivid examples,miongoni mwa madhehebu yenye full packages,ni hilo RC,limekamilika,mtu akikosa hoja,ndo unakuta anaenda kwa akina askofu Masanja,Askofu Gwajima,askofu Mpoto et al.
 
TOA vivid examples,miongoni mwa madhehebu yenye full packages,ni hilo RC,limekamilika,mtu akikosa hoja,ndo unakuta anaenda kwa akina askofu Masanja,Askofu Gwajima,askofu Mpoto et al.
mimi nimeleta hoja hizi, we lete zako upandwe wako.

1. kanisa la kwanza waliamini kuokoka, catholics hawaamini kuokoka.
2. kanisa la kwanza hawakuwa wanakunywa pombe, catholics ni walevi.
3. kanisa la kwanza waliamini ujazo wa Roho na kunena kwa lugha, catholics wanapinga hilo na hawana Roho.
4. kanisa la kwanza waliombea na kuponya wagonjwa kama huduma ya Yesu, catholics hawawezi kuponya hata unywele tu.
5. kanisa la kwanza hawakuwa wanamwabudu bikira maria, catholics wanaabudu na kuomba kwa bikira maria.
6. kanisa la kwanza hawaombi kwa wafu, waliomba kupitia Jina la Yesu tu, catholics wanaomba kupitia wafu.
7. kanisa la kwanza hawakuabudu masanamu, catholics wanaabudu masanamu ya yesu wa kwenye sinema hadi leo hii.

NB: utakapoleta hoja zako, usifikiri mimi ni muumini wa miujiza ya mafuta, chumvi za upako, keki za upako na baadaye wataleta wanawake wa upako. I am against those, ila NINAAMINI KUOKOKA, NINAAMINI KUJAZWA ROHO MTAKATIFU, NINAAMINI DAMU YA YESU, NINAAMINI UTAKATIFU HAPA DUNIANI HADI MBINGUNI, NINAAMINI TUNATAKASIKA KWASABABU TU YA DAMU YA YESU AMBAYE ANATUOMBEA HADI LEO, NINAAMINI JINA LA YESU n.k. hao walamba chumvi za upako nawawekaga fungu moja na ndugu zangu wakatoliki.
 
Ooh sasa unatukaripia na sisi!!
 
Usipanic relax, kunywa maji, vuta taratibu utulie. Bwana mchungaji ndo ashafukuzwa hivyo
 
Safi sana mkuu, hao manabii si wakuzoeana nayo kuna mawili anaweza kumla mkeo au kula mali zenu.
 
NI UONGO WA KUTUPWA NA UKOSEFU WA UPEO WAKO TU
hao wengine ambao hawana TV au wana Dini Nyingine wasiomjua ULOKOLE mbona wanaishi vizuri tu,
Na walokole kibao km Mama Rwakatare na pesa zake na kumlilia Yesu mbona aliondoka na kazikwa na Jiji
acheni kuwadanganya wenzenu km umemjua Mungu kaa naye kama ni Yesu kaa naye msije kututisha
ingia Jukwa la Dini ukutane na wanaochambua uwepo wa Mungu, Dunia ina zaidi ya watu Bilioni 8 wakristo hawazidi Bilioni 2 walokole ni milioni 700
sasa ina maana Mungu hawapendi waliobaki Bilioni 6
FUKUZA NABII YOYOTE atakayeingia nyumbani kwako NI WEZI TU wanakuambia toa SADAKA inayouma
 
Kuna siku utawatafuta mwenyewe ili wakuombee, wao wamekunguta mavumbi mzigo umebaki kwako
Wamuombee nini kama ntu amafulia anaenda kukopa benk , akiumwa anaenda hospitali akifa watamzika maombi ni utapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…