Nimemtolea mahari sasa ananipa shida, najuta!

Dah, umaskini mbaya sana
 
Hapo umepata "MBUTE" badala ya kitu kutoka "KFC" !
 
Kulingana na Malezi, Mazingira aliyolelewa ama Familia anayotoka, haya yanaweza kuwa visababishi vya yeye kubadilika:-
1) Amegundua labda ameingia chaka kujihusisha na wewe;
2) Ama sio mvumilivu/hana uvumilivu;
3) Labda ameona hatoweza kutimiza ndoto au matamanio yake ya kimaisha akiwa na wewe;
4) Anaweza kuwa ni asiyejitambua (au) kujua anataka nini katika maisha;
5) Kwa kuzingatia (4) inawezekana ana washauri wabaya au watu waliomshika Masikio;

Ukizingatia anataka kurudi kwao ni bora umuacha aende na ukubali kuachana na MAHARI (kiendacho kwa Mganga.....) maana atakusumbua na kukupotezea focus ya kufanya mambo muhimu ya kimaisha na maendeleo yako kwa ujumla.
 
Ile top ten ya matajiri wa dunia IMEGUNDUA VITU AMBAVYO HUFANYA DUNIA ITEMBEE ila HAWAJAOA, hapa nazungumzia Bill Gate, Benzos na wengine
Kuoa kwao wao si hoja,wangapi wanawake waliacha ndoa zao toka kwa Wafalme na wala hawakujutia. Mali au hela si kila kitu,wanawake wanatafuta furaha,na hawapendi manyanyaso.

Kingine anaye fanya Dunia itembee ni yule aliye iumba na si mtu,acheni kujidanganya.
Eicher ndio sasa hivi basi mashuhuri kwa usafiri TZ na hasa Dar, mwenye Eicher kampani HAJAO.
Naona kijana huna hoja,mapenzi au ndoa haidumishwi na Mali,bali ni utu,kujali,matunzo na utimamu wa akili.
Dangote ndio mbabe wa Africa HAJAOA.
Kijana naona unaishi mule mule,hoja huna nani alikwambia ndoa inasimamishwa na utajiri ?
Kenya ilishawahi kumiliki BEST JUDGE mkuu ambae hakua ameoa.

Ina maana wotee Hawa HAWANA AKILI?
Hao wote wana akili ila hawana akili timamu.

Naona kijana umejikita kwenye Mali kama kigezo cha kusimama kwa ndoa au muhimili wa ndoa.

Huu ujinga waambie vijana wenzako vijiweni wenye kujilinganisha na wanawake na kutaka kushindana nao.

Wanaume hatujadilo suala la Wanawake kwa hoja za kitoto namna hii na kumili upande mmoja.
 
Malal airudi
 
Mwache aende usidai hata kumi songa mbele karibu kwenye chama cha masenior bachelor tukiongozwa na mwenyekiti wetu le mutuz
 
Mwache aende. Usidai hata 100 mbovu kutoka kwake.
Tulia tafuta mwanamke mwingine oa.
Huyo atakuja kukutafuta, tena akilia. Kuna kajamaa kanamzuzua huko alipo ndiyo maana anakufanyia hivyo.
 
Sasa Mkuu unalia nini? Iko hivi ukiona wife visingizio vingi kukupa Papuchi ujue kuna njemba huko nje inakusaidia.

Kuwa Mwanaume, wengine tumetokea huko, mwanaume halii kisa mwanamke, Kama hakuthamini mrudishe kwao endelea na Maisha yako, tafuta pesa, mtumikie Mungu, Be real. Umri wako bado Sana kuanza Kulia Lia kisa mwanamke utapata magonjwa ya Moyo utakufa utamuacha huyo unaeita mkeo anagongwa na njemba nyingine Kiroho Safi.
 
Hata bible imeandikwa "amtegemea binadamu amelaaniwa"

Uwe na ma ruz boli yako
 
Ni mkeo? Umefunga nae ndoa?
 
Kwa hiyo anatudanganya?
 
Mkuu kwa hiyo unataka kutuambia kwamba Jeff bezos na bill gate hawana akili timamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…