Kuoa kwao wao si hoja,wangapi wanawake waliacha ndoa zao toka kwa Wafalme na wala hawakujutia. Mali au hela si kila kitu,wanawake wanatafuta furaha,na hawapendi manyanyaso.
Kingine anaye fanya Dunia itembee ni yule aliye iumba na si mtu,acheni kujidanganya.
Naona kijana huna hoja,mapenzi au ndoa haidumishwi na Mali,bali ni utu,kujali,matunzo na utimamu wa akili.
Kijana naona unaishi mule mule,hoja huna nani alikwambia ndoa inasimamishwa na utajiri ?
Hao wote wana akili ila hawana akili timamu.
Naona kijana umejikita kwenye Mali kama kigezo cha kusimama kwa ndoa au muhimili wa ndoa.
Huu ujinga waambie vijana wenzako vijiweni wenye kujilinganisha na wanawake na kutaka kushindana nao.
Wanaume hatujadilo suala la Wanawake kwa hoja za kitoto namna hii na kumili upande mmoja.