Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

Hii inanikumbusha nilimtoa demu kenya mpaka bongo kula nae maisha, siku moja naenda nae club ndani ya Uber ongea ya kikenya dereva uba akaanza niliishi Nairobi sijui nini.
Nikafikq ATM nikawacha kwenye gari nikaenda toast pesa chaap.
Narudi nakuta simu ya demu wangu ameishikilia njemba ya Uber inasevu namba yake. Daah mtiti ulianzia pale akajua wabongo si wakutaniwataniwq.
 
Wewe ukipata demu mzungu ama mzuri hugongi ama kuoa Tena , umeona ili ugonge ama tutengeneze familia.
Kama ulioa kisa sex ndio unateseka. Uaminifu mbinguni. Unadhani ni mangapi tu tunafanya kinyume na Muumbaji wetu. Sasa cheki sie wenyewe aliyetuumba anayeweza kutoa roho sio mwaminifu kwake na iweje kwa binadamu mwenzako uwe mwaminifu kwake
 
Ujinga wake uko wapi?
Kumjua mkewe yukoje ni ujinga?
Kweli Kuna watu wa ajabu hii nchi.
kabisa, eti wanamuona mjinga akati ni njia nzuri ya kumfahamu mwenzio madhaifu yake ili ujue unaishi vipi. Me pia nishawai mtest mzee kwa number fake (cas hatumii instagam wala ma social network ya kipuuzi) but eeh sitasahau alivonfokea kwa sms hahah,, manake nlijifanya ni mdada wa supermarket hua namuona akija ananivutia sana, aisee aliandika "we binti, me nina mke mzuri sana na watoto wazuri na nawapenda kuliko chochote, toa usenge wako furauni shetan mkubwa, na nikikujua takufanyia kitu mbayo hutanisahau mbuzi wewe",

nkasema moyoni, kweli nina mume[emoji23]
 
Ha ha ha hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…