Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

Na una majanga kwenye hio ndoa mara katongozeka mara umechelewa kupata kido..pole
 
😁😁😁 na bilashaka upendo uliongezeka sana,baada ya kumjua rangi yake halisi,ungejua kua ni muhuni,ungehuzunika sana.
 

Baadhi ya wanawake hasa wamama wa nyumbani hufanya hizo chat for fun!
Jua tu nothing Serious. Kimsingi ni makosa makubwa kumfanyia mkeo hivyo!
Mtafutie kazi/biashara ya kumkeep busy na muachane na hiyo mitandao ya watoto wa shule...
 
Wakati unaowa kahaba ulikuwa unategemea nini?

Au ulidhani tako ndio sifa ya kuchaguwa mke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…