McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Ndugu yangu hawa viumbe wanaounda vistory wanaboa. Mara nataka kuolewa mara sihitaji etc
JF imevaa sura mpya people mostly wanatengeneza story ila ukiunganisha matukio yao utajua ni utoto mtupu,thanks kwa kuliweka wazi,uyu mdada ukisoma thread zake na michango yake kama ingekua kweli basi hao wanaume wake wanajaa Yutong.
Watakuja kujibu kwa matusi na kashfa na sio hoja hii ndio JF.

