[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]pole mwe didy na mwenzake cthjoel aisee usiende hujajua bei utaumbuka
Kwa sasa anasuka za bei gani?Kwema ndugu zangu watanganyika?
Kutokana na mimi kupitia changamoto za kifedha kwa sasa,nilimuomba Wife tupunguze gharama za uendeshaji wa maisha yetu kwa kujibana sana, pendekezo langu la kwanza nilipendekeza Wife anyoe nywele zake alizosuka,akajitetea kwamba nywele zake katumia karibia miaka 10 kuzifikisha hapo zilipofikia hivyo hatoweza kuzinyoa na akaongezea kuwa akinyoa yeye huwa ana kichwa kibaya hivyo hatokua comfortable.
Basi mimi nikajaribu kupitia kwenye baadhi ya pages za wadada wenye saloon huko Instagram nikaja na pendekezo moja kuwa Wife awe anasuka style flani hivi ya nywele ambayo ni affordable kwani ni elfu 5 tu.ila mwenzangu nilipomshirikisha hivyo akaishia kunisunya na kunibinulia midomo kuwa hayuko tayari.
mpaka sasa kaninunia.ila mimi msimamo wangu uko pale pale sitotoa zaidi ya elfu 5 ya kusukia.
Asanteni
View attachment 2044854
Haha yani acha tu
Kuna mwingine anajiita Pascomakerover
Ni balaa kunyoa tu na kueka rangi 85k nimekoma[emoji119][emoji23]
Huyo anawanyoa kina lulu mwenzangu we[emoji1430][emoji1430]
Dah kuosha tu buku mbona cheap sana hyo aisee, kuosha na ku set nywele au kuweka steaming buku tanoMbona mbagala kuosha nywele ni 1000. Jamaa asimamie msimamo wake mke asimvuruge tena abadilishe utaratibu asubuhi wasinywe chai, watoto ajirahidi wasome shule za serikali ili wabane matumizi ya familia na umeme wasitumie watumie vibatali asimuendekeze kabisa mke wake
Duh hatari sana na sikuhizi trends ni kupaka ma rangi nywele kichwani sijui inaitwaje hyoSiku hizi unalipa 30,000 unakutana na watoto wakina "mchaichai" wanakuchezea nywele wanajifunza kunyoa.
Duh hatari sana na sikuhizi trends ni kupaka ma rangi nywele kichwani sijui inaitwaje hyo
Mimi zimenishinda hayo matango labda ningekuwa tenejaTena marangirangi naona kama visichana vinapendeza
yeah,mi kuna mda nasuka kwa ajili ya kuacha kichwa kipumue na hata sasa nimesuka nywele saba but nikitoka tu nafunga lembar, mimi sikuhizi husuka za mkono napendeza staki mzigo kichwani, Sasa sijui ndio nazeeka maana zamani nilikuwa siwezi kama wewe, ila nowdays sipendi kusuka Rasta ukichangia na hili joto ndio haswa
30000