Nimemuambia wife awe anasuka style hii ya nywele ili ku-save cost, kaishia kunisunya na kunibinulia midomo

Nimemuambia wife awe anasuka style hii ya nywele ili ku-save cost, kaishia kunisunya na kunibinulia midomo

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]pole mwe didy na mwenzake cthjoel aisee usiende hujajua bei utaumbuka

Haha yani acha tu
Kuna mwingine anajiita Pascomakerover
Ni balaa kunyoa tu na kueka rangi 85k nimekoma[emoji119][emoji23]
 
Kwema ndugu zangu watanganyika?
Kutokana na mimi kupitia changamoto za kifedha kwa sasa,nilimuomba Wife tupunguze gharama za uendeshaji wa maisha yetu kwa kujibana sana, pendekezo langu la kwanza nilipendekeza Wife anyoe nywele zake alizosuka,akajitetea kwamba nywele zake katumia karibia miaka 10 kuzifikisha hapo zilipofikia hivyo hatoweza kuzinyoa na akaongezea kuwa akinyoa yeye huwa ana kichwa kibaya hivyo hatokua comfortable.
Basi mimi nikajaribu kupitia kwenye baadhi ya pages za wadada wenye saloon huko Instagram nikaja na pendekezo moja kuwa Wife awe anasuka style flani hivi ya nywele ambayo ni affordable kwani ni elfu 5 tu.ila mwenzangu nilipomshirikisha hivyo akaishia kunisunya na kunibinulia midomo kuwa hayuko tayari.
mpaka sasa kaninunia.ila mimi msimamo wangu uko pale pale sitotoa zaidi ya elfu 5 ya kusukia.
Asanteni

View attachment 2044854
Kwa sasa anasuka za bei gani?
 
Ndio mambo yenu ya kipuuzi ya kuoa mwanamke unaemuogopa. Yaani unamshirikisha swala la ukata wa maisha yenu anaona nywele yake ni ya maana kuliko mustakhabari wenu na msonyo juu!? Au ndiye unaishi kwake!??
 
Haha yani acha tu
Kuna mwingine anajiita Pascomakerover
Ni balaa kunyoa tu na kueka rangi 85k nimekoma[emoji119][emoji23]

Huyo anawanyoa kina lulu mwenzangu we[emoji1430][emoji1430]
 
Huyo anawanyoa kina lulu mwenzangu we[emoji1430][emoji1430]

Alafu mimi wa chanika ndani ndani uko nataka na mimi niende[emoji38][emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mtoa mada unamatatizo makubwa Sana zaidi ya hayo ya nywele wengi wanayojadili hapa,

Hivi apo ulipo umetimia KWELI?

Hivi mwanamke anaanzaje kukusonya kwa mfano[emoji848]
 
We nae famba kweli unakosaje kujiamini kiasi hiko mpaka kumuomba abadilishe style ya nywele kuokoa pesa?
Wanawake hawaambiwi vitu kama hivy directly live live.. unaenda naye taratibu kwa action mpaka mwenyewe anaelewa bila ya wewe kusema chochote
 
Mbona mbagala kuosha nywele ni 1000. Jamaa asimamie msimamo wake mke asimvuruge tena abadilishe utaratibu asubuhi wasinywe chai, watoto ajirahidi wasome shule za serikali ili wabane matumizi ya familia na umeme wasitumie watumie vibatali asimuendekeze kabisa mke wake
Dah kuosha tu buku mbona cheap sana hyo aisee, kuosha na ku set nywele au kuweka steaming buku tano
 
Siku hizi unalipa 30,000 unakutana na watoto wakina "mchaichai" wanakuchezea nywele wanajifunza kunyoa.
Duh hatari sana na sikuhizi trends ni kupaka ma rangi nywele kichwani sijui inaitwaje hyo
 
, mimi sikuhizi husuka za mkono napendeza staki mzigo kichwani, Sasa sijui ndio nazeeka maana zamani nilikuwa siwezi kama wewe, ila nowdays sipendi kusuka Rasta ukichangia na hili joto ndio haswa
yeah,mi kuna mda nasuka kwa ajili ya kuacha kichwa kipumue na hata sasa nimesuka nywele saba but nikitoka tu nafunga lembar
 
Utakuwa unamkumbusha machungu,hyo style nywele zinavutwa sana utakuta anaugulia maumivu wiki nzima,yakipoa zinaanza kuwasha, sometimes unawakuta wanajipiga ngumi za kichwa kama wamechanganyikiwa..
 
Ahaaaaaa dah hizi familiya! Kwani yeye hawezi jilipia nywele mpaka alipiwe? Hana kazi? Aisee siwezi omba hela ya kusukia, bora niombe kubwa ninyimwe kuliko kuomba 30000 ya nywele.au nipewe bila kuomba.

Mwanaume namuomba hata laki mbili namdanganya mama anaumwa, nikipewa sawa nikinyimwa sawa. Natengeneza mazingira sio kuropoka eti naomba laki mbili😂

Hizo nywele ni buku tu. Za buku tano ni zaidi ya hizo labda kama anasuka saloon za masaki
 
Back
Top Bottom