johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Pyuuuutuuuuu pyuuutuuuuuuYeye alitaka Lema asikimbie ili amfanye nini?
Hahahaaaa........!Mmechemka vibaya
Ana hukumu fulani mezani kwake huyo Sabaya!Huyo Sabaya na wewe akili zenu zinafana tu
Nadhani ndio atapewa mkoa wa Arusha!Dc sabaya ni mwajiriwa huko Hai kilimanjaro, anaishi nyumba ya serikali huko Hai, kilimanjaro. Inakuaje kila siku anazingumziwa kwenye matukio ya arusha? Ninashauri pangua pangua inayokuja ya kuwahamisha wakuu wa Wilaya ,sabaya apangiwe kuwa DC wilaya ya kakonko au biharamulo.
Labda Daudi Mchambuzi wa hapo Machame atusaidie!Ana uzalendo gani ambao Lema na wengine hawana !!