Nimemuelewa DC Sabaya, inawezekana kabisa Godbless Lema alisaidiwa na CCM Arusha kwenda uhamishoni!

kamanda hawezi kukimbnia vita huyo lema ni kama demu malaya tu akigongwa huku anenda kwingine anagongwa sasa hivui anagongewa ulaya
Umeyajulia wapi hayo inaelekea wewe tigo yako inatoa mvuke kwa joto la msuguano!
 
DC Ole Sabaya amesema mambo mawili makubwa:

Mosi, CCM Arusha kuna kandarasi ya majungu ambayo mradi wake mkubwa ni kuwapiga vita wazalendo wa kweli kama yeye.

Pili, Kuvuka mpaka na kwenda kupata ukimbizi nchi nyingine siyo jambo rahisi na mtu mwepesi mwepesi kamwe hawezi kupata fursa kama hiyo.

Lakini, kwa nyongeza kasema Kandarasi ya majungu ya CCM Arusha inamtumia mkimbizi Ansbert Ngurumo kumchafua.

Niliwahi kujiuliza iliwezekanaje Godbless Lema kufanikiwa kuondoka nchini akiwa na familia yake yote hadi beki tatu?

Nimemuelewa sana DC Ole Sabaya.

Maendeleo hayana vyama!
Ulitaka aje kwako na wakati huna makazi maalum?
 
Dc sabaya ni mwajiriwa huko Hai kilimanjaro, anaishi nyumba ya serikali huko Hai, kilimanjaro. Inakuaje kila siku anazingumziwa kwenye matukio ya arusha? Ninashauri pangua pangua inayokuja ya kuwahamisha wakuu wa Wilaya ,sabaya apangiwe kuwa DC wilaya ya kakonko au biharamulo.
Sabaya ni mzaliwa wa Arusha. Ni mwanaccm wa mkoa wa Arusha. Ni mkereketwa wa mambo ya kijamii, kisiasa, kiutamaduni, kimaendeleo na kiuchumi katika mkoa wa Arusha. Hana sababu ya kupasusa nyumbani kwao.
 
Kwani kuna ma DC wa taifa? Hai na Arusha wapi na wapi? Alitaka Lema asiondoke amfanye nini?
 
DC Ole Sabaya amesema mambo mawili makubwa:

Mosi, CCM Arusha kuna kandarasi ya majungu ambayo mradi wake mkubwa ni kuwapiga vita wazalendo wa kweli kama yeye.

Pili, Kuvuka mpaka na kwenda kupata ukimbizi nchi nyingine siyo jambo rahisi na mtu mwepesi mwepesi kamwe hawezi kupata fursa kama hiyo.

Lakini, kwa nyongeza kasema Kandarasi ya majungu ya CCM Arusha inamtumia mkimbizi Ansbert Ngurumo kumchafua.

Niliwahi kujiuliza iliwezekanaje Godbless Lema kufanikiwa kuondoka nchini akiwa na familia yake yote hadi beki tatu?

Nimemuelewa sana DC Ole Sabaya.

Maendeleo hayana vyama!
Ukimuelewa wewe inatosha kabisa, msituumize vichwa kutuaminisha utopolo
 
DC Ole Sabaya amesema mambo mawili makubwa:

Mosi, CCM Arusha kuna kandarasi ya majungu ambayo mradi wake mkubwa ni kuwapiga vita wazalendo wa kweli kama yeye.

Pili, Kuvuka mpaka na kwenda kupata ukimbizi nchi nyingine siyo jambo rahisi na mtu mwepesi mwepesi kamwe hawezi kupata fursa kama hiyo.

Lakini, kwa nyongeza kasema Kandarasi ya majungu ya CCM Arusha inamtumia mkimbizi Ansbert Ngurumo kumchafua.

Niliwahi kujiuliza iliwezekanaje Godbless Lema kufanikiwa kuondoka nchini akiwa na familia yake yote hadi beki tatu?

Nimemuelewa sana DC Ole Sabaya.

Maendeleo hayana vyama!
Wewe shabiki ole sabaya una kiherehere sana sasa mambo ya lema na usalama wake na familia yake wewe unakukereketwa nini akienda nje ya nchi kutafuta hifadhi
 
Sabaya ni mkuu wa wilaya ya Hai, mambo ya arusha dc yanamhusu vipi? Kwanini anamuingilia kihongosi? Yeye apambane na mbowe huko hai
Yani watu bado wanahangaika sana juu ya lema, uchaguzi umeshapita lakini bado kuna chawa zipo nyuma kufuatilia kaenda wapi
 
DC Ole Sabaya amesema mambo mawili makubwa:

Mosi, CCM Arusha kuna kandarasi ya majungu ambayo mradi wake mkubwa ni kuwapiga vita wazalendo wa kweli kama yeye.

Pili, Kuvuka mpaka na kwenda kupata ukimbizi nchi nyingine siyo jambo rahisi na mtu mwepesi mwepesi kamwe hawezi kupata fursa kama hiyo.

Lakini, kwa nyongeza kasema Kandarasi ya majungu ya CCM Arusha inamtumia mkimbizi Ansbert Ngurumo kumchafua.

Niliwahi kujiuliza iliwezekanaje Godbless Lema kufanikiwa kuondoka nchini akiwa na familia yake yote hadi beki tatu?

Nimemuelewa sana DC Ole Sabaya.

Maendeleo hayana vyama!
Hebu eleza ugumu uliopo.
 
Dc sabaya ni mwajiriwa huko Hai kilimanjaro, anaishi nyumba ya serikali huko Hai, kilimanjaro. Inakuaje kila siku anazingumziwa kwenye matukio ya arusha? Ninashauri pangua pangua inayokuja ya kuwahamisha wakuu wa Wilaya ,sabaya apangiwe kuwa DC wilaya ya kakonko au biharamulo.
Una muogopa akiendelea kubaki Hai? Kazi ya Hai amekwisha maliza.

Na itakuwa kazi sana kurudisha hali ya kisiasa irudi kama ilivyokuwa kabla Sabaya hajaenda Hai kuwa Mkuu wa Wilaya. .
 
Baada ya kushidwa ubunge,wizi wa magari,biashara ya magari classic,biashara ya bangi na mirungi,Chariii wa Arusha alipiga mahesabu kusomesha watoto wake wote mpaka chuo kikuu hapa TZ huku Serikali ya PNP ikiwa madarakani,akajisepea kwa gia ya ukimbizi.
Mwenzio anaendesha maisha yake wewe unaimba taarabu, na hata uenyekiti wa kitongoji hujawahi kuwa, tafuta pesa ujenge maisha yako...
 
Hiyo hukumu itasaidia kuwashawishi wakenye wayapokee mahindi yenu yaliyo pigwa pini hapa longido?
Mmawia sasa umekuwa Mkenya? Au ndio adui yako hujali nani kampiga, wewe shuguli yako ni kushangilia kipigo anacho pata adui ?.
 
DC Ole Sabaya amesema mambo mawili makubwa:

Mosi, CCM Arusha kuna kandarasi ya majungu ambayo mradi wake mkubwa ni kuwapiga vita wazalendo wa kweli kama yeye.

Pili, Kuvuka mpaka na kwenda kupata ukimbizi nchi nyingine siyo jambo rahisi na mtu mwepesi mwepesi kamwe hawezi kupata fursa kama hiyo.

Lakini, kwa nyongeza kasema Kandarasi ya majungu ya CCM Arusha inamtumia mkimbizi Ansbert Ngurumo kumchafua.

Niliwahi kujiuliza iliwezekanaje Godbless Lema kufanikiwa kuondoka nchini akiwa na familia yake yote hadi beki tatu?

Nimemuelewa sana DC Ole Sabaya.

Maendeleo hayana vyama!
Huyu mbona hafi?
 
Sabaya ni mkuu wa wilaya ya Hai, mambo ya arusha dc yanamhusu vipi? Kwanini anamuingilia kihongosi? Yeye apambane na mbowe huko hai
Hata Mbowe wala si saizi yake, aendelee kumlamba bosi wake matako ili kibarua chake kisimee nyasi.

Hivi kapona corona???
 
Back
Top Bottom