Nimemuelewa DC Sabaya, inawezekana kabisa Godbless Lema alisaidiwa na CCM Arusha kwenda uhamishoni!

Mwenzio anaendesha maisha yake wewe unaimba taarabu, na hata uenyekiti wa kitongoji hujawahi kuwa, tafuta pesa ujenge maisha yako...
Ni mwenyekiti wa familia yangu na nimetosheka kabisa na nafasi yangu.
 
Sabaya ni mkuu wa wilaya ya Hai, mambo ya arusha dc yanamhusu vipi? Kwanini anamuingilia kihongosi? Yeye apambane na mbowe huko hai
Sabaya ni Diwani huko
 
Sawa
 
DC SABAYA aseme kama hata kesi yake ya kumpiga risasi MALAYA pale TRIPLE A ambaye alikuwa anamdai pesa baada ya kumnyonya ...na kumteka askari mlinzi wa getini aliyejaribu kumtetea malaya , huyo askari hadi leo hajaonekana na inasadikika ili kuuwa ushahidi alienda kumuuwa na kumzika kusikojulikana ..pamoja na binti malaya ... hilo hata Gambo anajua kwakua hakukubaliana nalo ....na iko siku mambo yatakuwa wazi
 
Watu kama hawa siyo wa kuzushiwa kufa, Mungu afanye kweli basi.
 
Inapendeza sana, ilipotoka CDM mkajua ndo itakua amani tele? Ama kweli mkimaliza kuwatenga watanganyika mtakuja kwa wazanzbara!
 
Huyu Sabaya wamwamishe pale Hai amekuwa na mazoea mabaya anajikuta ana mamlaka kuliko RC. Apelekwe hata Songea kabisa
 
Hizi habari anazoziongea zinasaidia nini changamoto za wananchi wilayani kwake ?, Au Kampeni bado hazijaisha / zimeshaanza ?

Hawa watu wanakula kodi zetu bure tu
 

Yuko vema kuliko utakavopata kuwa katika maisha yako!! Kila mtu atapaswa kuchagua, kama nawe ilivochagua!! Ungekuwa unafahamu kidogo kuhusu ukimbizi usingeangalia jambo hili kwa macho ya gharama za maisha tu!! Huenda Lema hatakuja kamwe tena Tz lakini yuko vizuri kimaisha na hili linakuumiza sana moyo!
 
Mimi siyo mkimbizi atakuwaje vyema kunishinda?
 
Sasa hao wliomsalimisha Lema wamekosea mbele ya nani?....maana sidhani kama kwa Mungu pia wamekosea.
 
Afukuzwe kabisa! Yule ni kibaka tu..sio kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…