Nimemuelewa DC Sabaya, inawezekana kabisa Godbless Lema alisaidiwa na CCM Arusha kwenda uhamishoni!

Anaongelea uongozi wa CCM na sio wa mkuu wa wilaya, yeye ni mjumbe wa kamati ya CCM mkoa/wilaya.
 
Maccm Sasa baada ya kuwamaliza wabunge wa CHADEMA yameanza kuchafuana yenyewe kwa yenewe
 
Natafuta kujua muunganiko wake na watu wa Arusha. Yeye yupo Hai, Kilimanjaro huko Arusha panamuhusu nini? Kituo chake cha Kazi si Kilimanjaro??
 
Ukuu wa wilaya umepoteza maana, yaani ni ukibaka fulani tu [emoji2788]
 
Anayeua kwa upanga huuawa kwa upanga.

Bosi wake anapumulia mashine!Hata yeye kikombe hiki hakiepuki.
 
Alijua ‘ataula’ baada ya uchaguzi. Sasa anajaribu kutoka kivingine.
 
Kuondoka nchini ni rahisi tu na wala hajadaidiwa na ccm
 
Hivi Sabaya ni wakuchafuliwa au tayari kajipaka mavi?? Ana nukaaa
 
Huyu ni jambazi,akaminywe kende tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…