Nimemuomba wife aniazime kiasi flani cha pesa, ameninyima, ila amejipost kwenye status yuko somewhere anakula bata na mashost zake

Ndyo zao wabinafsi sana kuna mwenzao huku namchora tu namsubiri siku moJa
 
pole sana
 
Wap hujaelewa nkueleweshe?
 
yes, ukikopa kwa friends (signicant others) utakuwa responsible
..hela za wife, mwachie ni zake, unaweza pewa hela alizohongwa na mchepuko, I.e wote mnakuwa mumehongwa.
 
Mkuu lazima mwanamke aombe ruhusa kutoka kwa mumewe siyo kutembea hovyo kama chokoraa. Mwanamke anatakiwa akitoka kwenye shughuli zake arudi Nyumbani na asitoke bila kuruhusiwa na Mumewe.
Hata mimi ndivyo ninavyoelewa ila si Hawa wenye mishahara Yao, waume zao nimikataba Yao ya kazini wewe hapo anapata mtarimbo tu basi na si vinginevyo, jiulize nimeishiwa nikope kwa mke? Zile sweetie Hela hii hapa kama una shida katatue ziko wapi? Mke mwenye pesa wewe ni Mme wa pili Mme wake wa kwanza ni kazi yake na mkataba wake, hiyo taka usitake habar Iko hivyo, wanaume oeni wanawake wasio na kazi muwahudumie, hivi Mwanamke anapigwa na jua kutafta pesa kama mwanamme atakuthamini kweli? Thubutu. We subir utayaona kama unabisha.
 
Mkuu maelezo yako unayoyatoa na post ya mtoa mada wala haviendani.
Yaani ni maelezo yako ni kama unamuhubiria mwanaume ambaye ni mlevi mlevi ambaye haijali familia kwa lolote kuanzia pesa ya chakula hatoi,pesa ya ada halipi,kodi ya nyumba halipi,anakesha baa na malaya hapo sawa.
Lakini mtoa mada ameongelea kuazima hela kwa mkewe kisha mkewe amekataa kisha akamuona yuko na marafiki zake wanaenjoy.
Sasa iko hivi kama mkeo hujamzoesha kuokoa jahazi mara moja kwenye familia wakati ukikwama basi jua ya kwamba siku ukiachishwa kazi au ukiugua ugonjwa wa muda mrefu sahau kabisa kwamba atakuja kukusaidia tena ndio atakuwa wa kwanza kukukimbia na kukuacha peke yako.
Jitahidi mkeo hata kama ni jobless uwe unampatia majukumu mara moja moja kwa kutumia vimradi vyake vidogo vidogo vya nyumbani yaani hata kama hela uko nazo mara moja moja muigizie ujifanye kama hauna pesa ili kupima tu juhudi zake.
 
Nimekuelewa na nimemuelewa mtoa mada......

Mantiki ya andiko langu ni kuwa mwanaume hupaswi kulalamika pale ambapo mkeo amekataa kukupa pesa yake......yeye mpaka kuja huku kulalamika maana yake amejipa haki kwenye hela ya mkewe mpaka alivyo mnyima akashangaa.....
 
Si wanasemaga kwamba mkioana mnakuwa mwili mmoja?sasa kwa nini chake kiwe chake lakini cha mmewe ni chao wote huoni hapo kuna kautapeli fulani?
 
Si wanasemaga kwamba mkioana mnakuwa mwili mmoja?sasa kwa nini chake kiwe chake lakini cha mmewe ni chao wote huoni hapo kuna kautapeli fulani?
Mwili mmoja kwenye masuala ya chumbani lakini kwenye majukumu ya kumtunza na kumhudumia ni wewe mwanaume.....
 
Hatari sana Jadda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…