Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Nikiwa eneo moja la Mikocheni ghafra bin vuuu namwona Posh, alooo anapiga ngumu kumeza ahsee bia ya wazee ya bei nafuu ya Safari.
Kama mm tu kipato changu cha million Tatu kwa mwezi mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu nakunywa Heineken na Windhoek lakini yule anakunywa safari what means? It means pesa hana fullstop tusileteane ngonjera hapa.
Posh pole Sana, umasikini mbaya sana