Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Na wew kipenz chetu ulitegemea anywe Nini ili ujue ana helaNikiwa eneo moja la mikocheni ghafra bin vuuu namwona posh, alooo anapiga ngumu kumeza ahsee bia ya wazee ya bei nafuu ya Safari.
Kama mm tu kipato changu cha million Tatu kwa mwezi mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu nakunywa Heineken na windhoek lakini yule anakunywa safari what means? It means pesa hanaaaa fullstop tusileteane ngonjera hapa.
Posh pole Sana, umasikini mbaya sana
What means??!Nikiwa eneo moja la mikocheni ghafra bin vuuu namwona posh, alooo anapiga ngumu kumeza ahsee bia ya wazee ya bei nafuu ya Safari.
Kama mm tu kipato changu cha million Tatu kwa mwezi mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu nakunywa Heineken na windhoek lakini yule anakunywa safari what means? It means pesa hanaaaa fullstop tusileteane ngonjera hapa.
Posh pole Sana, umasikini mbaya sana
Harmonize akiniona nimekwishaNikiwa eneo moja la mikocheni ghafra bin vuuu namwona posh, alooo anapiga ngumu kumeza ahsee bia ya wazee ya bei nafuu ya Safari.
Kama mm tu kipato changu cha million Tatu kwa mwezi mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu nakunywa Heineken na windhoek lakini yule anakunywa safari what means? It means pesa hanaaaa fullstop tusileteane ngonjera hapa.
Posh pole Sana, umasikini mbaya sana
Mkali wa walimu ur back,wanatafutana sasa hiviNikiwa eneo moja la mikocheni ghafra bin vuuu namwona posh, alooo anapiga ngumu kumeza ahsee bia ya wazee ya bei nafuu ya Safari.
Kama mm tu kipato changu cha million Tatu kwa mwezi mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu nakunywa Heineken na windhoek lakini yule anakunywa safari what means? It means pesa hanaaaa fullstop tusileteane ngonjera hapa.
Posh pole Sana, umasikini mbaya sana
Huyu ni mlemavu?Unamsingizia.
View attachment 3222793