Nimemuona leo “Poshy Queen” wa Harmonize anakunywa safari. Kumbe wasanii hawana hela…?

Uyo Dem hua hiyo ndio bia yake, anapjaga safari tu sana mara zote ninazomuona maneno,
Ila tatzo hua zinaamia chini Kwa nyuma doh ngoja nitandike nilale.
 
Bia si kipimo cha umaskini.

Miongoni mwa Madhara ya lite inaleta kitambi . Lite 3 ni sawa na Lager 1, do math

Bia aliyotumia Baba wa Taifa usiichukulie Poa.

Safari Lager haitawai kuwa na Mpinzani 🔥
 
Uyo Dem hua hiyo ndio bia yake, anapjaga safari tu sana mara zote ninazomuona maneno,
Ila tatzo hua zinaamia chini Kwa nyuma doh ngoja nitandike nilale.
 
Aiseé milioni tatu ndio mshahara wa mwalimu mwaka mzimaa na hamsemiii🤔🤔🤔

Na Bado Kwenye mikutano ya Wana CCM wanakaa mstari wa mbelee Kwa nyimbo na mapambioo😄😄😄

Nchi ngumu sana hii
Mbona huo ni shahara wa mwalimu aliyeanza KAZI 2010
 
Mpwayungu Village kunywa safari sio kipimo cha kukosa hela. Kuna waziri mkuu mmoja mstafu, yeye anakunywa gongo miaka yote, ana afya njema na kichwani yuko vizuri sana.
 
Kama mm tu kipato changu cha million Tatu kwa mwezi mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu nakunywa Heineken na windhoek lakini yule anakunywa safari what means? It means pesa hanaaaa fullstop tusileteane ngonjera hapa.
People drink for taste mzee,
Ukimkuta Mbowe unapiga Konyagi sio kwamba hana hela ya gordons au Martin,
He drink his taste!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…