Nimemuona leo “Poshy Queen” wa Harmonize anakunywa safari. Kumbe wasanii hawana hela…?

Salamaleko mwalimu mwenye 3m salary kwa mwezi.
 
Ualimu uliacha mkuu

Sio kwa ubaya lakini
 
😀😀😀😀 Umenikumbusha mwanangu mmoja hivi mwaka jana mwishoni kuna dili aliliotea nikoana ameanza kunywa heinken wakati tulikua team serengeti lager wote. Sasa hivi naona karudi kwenye chama. Anyway uyo harmonize kama iyo ndio bia yake pendwa hakuna ubaya
 
Labda ni kinywaji chake pendwa.
Unaweza kuwa una pesa nyingi ila kitu unachokipenda bei yake buku tu.
 
Umetokosea sanaaa wala mbuyu " safari"
Sio bia ya kimasikini ,

Siku zote nikiingia sehemu nikiona mtu anakula buyu namuona yuko fresh kichwani ,

Walamba lips hawawezi mziki ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…